RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Hawa wapumbavu eti lockdown inaanza jioni hadi asubuhi! Wakati muda huo wengi wanakuwa nyumbani eti ndio lockdown wakati mabwana zao waliowatuma wanapiga lockdown 24hrs.Nakumbuka wakati ule wa mlipuko wa Covid-19 vilaza kina Uhuru Kenya walivyokurupuka na Lockdowns, kisa tu Uingereza ametangaza Lockdown na wako desperate na hela za msaada za imf. Pasi na kuzingatia kuwa Kenya ni Nchi fukara ya ulimwengu wa tatu.
Wakashangaa waja hatuna ujinga wa lockdown na tunadunda tu 😀😀😀
Zile pesa za Covid-19 zilitajirisha sana wanasiasa wa Kunya .