ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,539
- 164,144
sio kdogosa pekee yani hata akimueka nani shida kubwa ni kua hakuna uwajibikaji wala mtu wakuwajibisha hayupo hio ndio shida kaka, kadogosa huyu huyu kipindi cha magu alikua anakwenda mbio kama swala 😂Mimi nadhani Kadogosa atumbuliwe. Atafutwe mtu serious