Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ebu tuonyeshe hizo duka zako za Kenya ambazo zinauza products za bongslum. Tayari tushaona duka zenu zinauza products kibao manufactured in Kenya.
Bado haujajibu swali, au wewe ndio type ya wale wanafunzi wanaojitungia maswali yao kwenye mtihani baada ya kukosa kitu cha kujaza kwenye answer sheets?
 
Yaani zote ulizotaja... sijawahi tumia hata moja...
Labda hio supermarket aliyotembelea inamilikiwa na mkenya
 
They don't care.... Wanashangaza sana...au wenzetu wana nchi nyingine wanaita kwao zaidi ya Tanzania....ni kama mtoto wa kwanza wa kiume who doesnt care mali za mshua wake...kazi kutapanya ovyo kutumia na videmu. Ndo viongozi wengi tulionao.

Hiz ajali za mbeya...barabara inayobypass mji wa mbeya kwa ajili ya maroli ingeshajengwa kitambo nk...hii miaka mitatu njia sita zingefika chalinze kitambo
 
Hakuna kitu kinatengenezwa Kenya na Tanzania hakuna, product zote ulizolist hapo juu kuna brand zaidi ya tatu kwa kila moja zinatengeneza same product.
Sisi hatuna hiyana kama nyie, finished products za Tanzania na Uganda hamtaki kabisa kwenye supermarket zenu ili mtemgeneze artificial superiority. Ila data zinawaumbua.
Huku Tanzania mtu habanwi cha kitumia anachagua atakacho....bidhaa za Uganda zipo, south Africa, Zambia, yani sisi hatuna nona.
Sasa imagine nyie mgeruhisu finished products za Tanzania ziwe visible huko kwenu, si viwanda vyote vingekufa tu. Yani hata Azam juice hamtaki huko kwenu mnabana......

Badilikeni nyang'au nyie.
 
Hawawezi. Wanajua wakiruhusu viwanda vyao vimekufa.
 
Sasa ni county governments (in this case kakamega county government) ndio waamuzi wa kudecide ni viwanja vipi vitatumika or is it the role of the government through sports ministry?
Devolution maana yake ni nini sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…