ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Toka mkataba umesainiwa ni mda gani umepita?taarifa huyu atakua nayo 😂😂 ChoiceVariable
Awamu ya kwanza ya mkataba ilihusu Barabara na Baadhi ya mitaro ya maji,sikuona components ya msimbazi.
Mwisho nachozua miradi inaenda Kwa stages.