concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Hapo hujaweka bei za vip tena hizo mechi ni zile ndogondogo, tukija mkapa 60,000* 5000=300mil ksh 17milKiingilio inakuanga bei gani huko.?
BTW uwanja wa Azam uko na capacity ya watu elfu 10 na kiingilio ni kati ya 5000 (regular) kiendelea.. ukipiga hesabu hapo utapata ngapi.? Heb tuone.
10000 x 5,000 =50,000,000 (let’s assume hawa watu wote wameingia regular.
Hiyo 700k K sh ni around 13 million Tz money.
Nasuburia watuletee kama washawahi fikisha hata ksh 10mil kwa mechi moja