Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Saa umekubali Kenya kuna magari mengine kuliko huko kwenu? Kama unabisha tuletee video kama hiyo ya barabara yoyote Tanzania during this festive season
Hapana hii inathibitisha jinsi barabara zilivyo chache huko kwenu. Barabara nyingi ziko kwenye makaratasi 😁
 
Kwa hizi high end products ukienda supermarkets bei yake iko chini kidogo kuliko haya maduka ya mtaani Al maarufu kwa Mangi.

Na supermarket nyingi mzigo wanachukua SA kwa sababu ya bei nzuri. Bidhaa nyingi kwenye supermarket ni either Dubai, China, SA na chache kutoka UK na US.
Kenya gharama za uzalishaji ziko juu kuanzia umeme logistics nk.
 
Indeed he is , nairobi is a miniature town .I and colleagues once walked from Westlands pale oracle hadi uhuru park it’s just less than 6kms. 6 KMS kwa dar cbd it’s like you are still in cbd mate . Nairobi is 1/3 of the size of Dar
I once walked in that city and finished it in a span of 3 hours.
 
Aje Dar ajifunze... Barabara zenye BRT system na ambazo hazina aone difference

Compare Morogoro road and Bagamoyo road...or compare kawawa road and Mwai kibaki road...uone how good infrastructure and organized public transport inaondoa kabisa traffic....yaan sasa Dar traffic inajulikana iko wap...mara nyingi ni kwenye traffic lights hasa wakiweka traffic police.

Muulize kenya hata Barabara wide yao kule chini Thika road karibu na CBD maeneo ya cabanas...unaweza kaa masaa mawili tu hapo. Tatizo la kenya ni poor public transport...matatu ni nyingi sana, vile vihiace zile nissan ni nyingi sana, na bado vyote vinaishia cbd...tena zote hata zinazotokea kisumu, Busia etc...labda wao wanafurahi kuona magari mengi sehemu moja...ambao ni ushamba tu

Imagine Dar... Mabasi yote ya mkoa yaishie lets say Mnazi mmoja, plus daladala zote za town, bajaji, vihiace nk...capital city iwe hapo hapo Dar posta.... Bado na lile nyomi la kariakoo...hiv Dar foleni ingekuwaje...si tungekuwa tunalala Barabarani?
Kwanza all our major roads crisscrossing Dar are 6 - 8 lanes.
 
Show us something like this bongolala.
View attachment 3181771View attachment 3181772
If I come here and claim that there are 100 buildings under construction in Eastleigh, everyone would agree with me because ni kitu kinaonekana. Sio kuja hapa na kipicha cha vijumba viwili under construction na kuanza kutupigia nayo kelele
Hata majengo 10 hayafiki

Wakati NHC peke yake wanajenga majengo 21 kariakoo kwa sasa bado private sector

Screenshot_20241222-085231.jpg
 
Back
Top Bottom