Nikisema Mimi mnasema nawachukia, oh niko hypocrite.
Hawa ni foreigners waliodanganywa kuwa kilimani ni coolest sijui vitu gan in Africa wakajaa...ona wanaishia kuwa disappointed. Yule mtu aliyesema kuwa Nairobi is developed online hakudanganya....
Yaani kilimani mnavyoipamba na aerial shots ni tofauti kabisa na kwa ground.
Let me tell you something most people waliotembelea kenya halafu wanatembelea Tanzania wanakuwa disappointed na kenya. Kenya online mnasema mna best infrastructure and developed lakin wanayokutana nayo kwa ground ni tofauti.
Tazama hii comment and video hapo chini... American anafanya comparisons...
View attachment 3183928
View: https://youtu.be/PZayW3ocluM?si=st_TEqhfY_et6pSQ