The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Wanajiongopea sisi tunawafuatilia, hawajui over 70% ya wabongo hawajui chochote kuhusu Kenya, I'm 100% sure ukiuliza more than 70% ya watz hawajui hata mji mkuu wa Kenya.Kimsingi ni very rare kupatana na taarifa za Kenya huku bongo.