ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Ile fokker ishajichokea anaitumia waziri mkuu mara nyngialaf ile iliokuwepo inafanyiwa nn kwa sasa? fokker ya rais wa kenya ina zaidi ya miaka 35 huko yetu hata 22 yrs haijafikisha aisee, bado tuna mambo mengi sana yakufanya kwa sasa hio pesa ni bora zejengwe hospitali hata 4 za kimataifa mkoa wa tanga, kigoma, bukoba huko tufanye medical tourism
najaribu kuangalia muda wa ndege kutumiaka kaka uhuru kenyatta kaitumia hio ndege miaka yake yote 10, ruto safari zake anatumia hio ndege za hapa africa na ina over 35 yrsIle fokker ishajichokea anaitumia waziri mkuu mara nyngi
We ni fala mpaka Dunia iishe nyie wakenya ni wajinga wa mwisho kabisa hamjui chambua hata kitu. Mko watupu kichwa kabisa, umeuvaa mkenge kama mwenzako.Remittance haitumiwi kwa accounts za serikali, kweli watanzania ni wajinga bwana😂😂
Haya nikusaidie nyie wehu chambueni hizo Remittance zikitumwa zinafanywaje mlivyo watupu baada ya kuingia kwa wahusika hawazizungushi Katika mzunguko kawaida?. Si huwa zinakuja kuingia wenye mzunguko wa kawaida taifa linapata kodi Sasa hio kodi ndio kiongozi wenu anaiba wapuuzi nyie.Remittance haitumiwi kwa accounts za serikali, kweli watanzania ni wajinga bwana😂😂
Remittance haitumiwi kwa accounts za serikali, kweli watanzania ni wajinga bwana😂😂
Birds view ndio itaweka lami kwa hii Barabara ya vumbi ama?Kwahiyo hiyo bird's eye view ya Dom Station hujaona mpaka unaleta vipicha vyako vya upande upande?
What on earth is service road ya reli bradhee?Hiyo picha ya ni service road ya Reli
Kwa hivo huyu Mjapan ni mjinga?Acha kujikuta unaijua Tanzania fwala wewe, First pic ni Dodoma, na hiyo barabara ni barabara aliyotumia mkandarasi wakati wa ujenzi (Iko nyuma ya station), sio barabara rasmi, hilo eneo lote lina fence ya TRC.
Second Pic ni kutoka Morogoro station (kwa nyuma) na hiyo barabara iko nje kabisa ya station ya Morogoro na iko under construction maana mkandarasi hajamaliza kazi.
Station ya Morogoro wanajenga bypass ambayo hadi malori na mabasi yatatumia ili yasiingie Morogoro mjini. Hio ndio barabara ya kuingia station, hii inayotumika sasa ni diversion tu wakati wanajenga hio bypass.Barabara gani ya vumbi ina km 10 kwenda kwenye station ya SGR Dodoma ni ipi hiyo! 😂😂😂
Station ya Dodoma si ipo barabarani/ Iringa road au!
Huyo balozi kamaanisha station ya Morogoro.
Sasa niridhike kwa kipi? Yani nikuoneshe picha ya Dodoma alafu uniambie niridhike wakati unaona ni ya Dodoma ndio uonekane kambe mtu mature wakati unaona ni ya Dodoma? Wacha ujinga.Sawa ni za Dodoma umeridhika?
Service roads also known as a frontage road or access road run parallel to railways, similar to how they function alongside highways. These roads provide access to railway facilities, maintenance areas, and properties adjacent to the rail line.What on earth is service road ya reli bradhee?
Railways are serviced by vehicles that move on the rail, not beside the rail.
Acha upumbavu wewe. Picha ya kwanza ni Dodoma station ila huo ni upande wa nyuma, mbele kuna lami ambayo ni barabara kubwa kabisa.Bradhee, hivi hizi picha ni za Morogoro?
![]()
![]()
Huyo ni mjuaju sana atakupasua kichwa tu.Service roads also known as a frontage road or access road run parallel to railways, similar to how they function alongside highways. These roads provide access to railway facilities, maintenance areas, and properties adjacent to the rail line.
Ha ha ha huyo anaetoa ufafanuzi hajawahi hata kutoka nje ya kibera! Vijamaa ni vijuaji balaa.Acha kujipiga kifua hivyo kwa kitu usichokijua. Marekani kuna miji, counties na mitaa mingi tuu yenye majina ya states. FYI, kuna mji unaoitwa Arizona.
Hii Safi ili waache kutumia ndege za ATCL.
View: https://x.com/tanzaniainsight/status/1875078443953434899?s=46
View: https://www.instagram.com/p/DAjvBspsk5g/?igsh=MXJ5N2h4OG1va2Q5OA==
Bro, a rail does not need a road running alongside the line for service purpose or access. Unlike roads which can be accessible from any point, railway lines are only accessible at the stations and that's the reason many railway lines are even fenced. That's also the reason you'll find linear settlement along a road but never along the rail. What you're talking about is hogwash. That's a road used by people coming to the station and it's unpaved. I have even shown you a photo with vehicles on the road.Service roads also known as a frontage road or access road run parallel to railways, similar to how they function alongside highways. These roads provide access to railway facilities, maintenance areas, and properties adjacent to the rail line.
Why don’t we pick Nairobi instead?That was not the question…stop dodging !..and America 🇺🇸 is a huge country, so stick to the state of Arizona ( which still confuses me why a whole state is comparable to a poor city like Dodoma…)… lots of ignorance there…just pick a city in the copper state ( AZ)… Phoenix, Tucson , Glendale , Chandler etc … then let’s compare a city with your Dodoma….. and before you rant , Copper state is another name for Arizona 😄
Still ni mazingira ya ovyo. Mpuzi mwenzako kasema ni first world environment eti inakaa Alaska. Kuna first world ipi Railway Station itajengwa alafu iachwe hivo?Acha upumbavu wewe. Picha ya kwanza ni Dodoma station ila huo ni upande wa nyuma, mbele kuna lami ambayo ni barabara kubwa kabisa.
Picha ya pili ni Station ya Morogoro nimetolea ufafanuzi kwenye post yangu juu hapo. Acha ujuaji usio na msingi.
Hio barabara ya vumbi nyuma ya station ndio imetumika na wakandarasi imeanzia Dar mpaka reli itkapoishia kujengwa Mwanza. Kuna hadi watu walipendekeza iwekkwe lami iwe barabara kamili. Kuna mtu alisema ni servuce road lakini kama kawaida yako ukamletea ujuaji. Ni barabra ya wakandarasi ndio service road.