Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Hebu sahihisha hapo nilipokoleza wino wewe kilaza😁nimetolea mfano kuwa ata tukijilingansha nao bado kuna mitaa ilio tengwa mfano kama io kibira na mtaa mingine kuna mijengo mingi sasa shida unaita mtu zuzu wakati umekaa zako huko zimbili unakula miwa.