Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
Unanionyesha nini na China Square Wanafungua branch yao ya nne Nairobi na tayari wako Kisumu na Mombasa, nimekuambia wewe ni mwenda wazimu. Tuwache malls za China Square Kenya tukuje kununua vitu kwa stalls bongoslum. 🤣 🤣 🤣 🤣 Tema hio jaba.

 
Eti treni yenu ni new technology?🤣🤣🤣
How is electric train concept a new technology in today's world? Unajua zilianza kutumika lini? Wewe kweli bwege
 
Kwenye ile timu hakuna mchezaji hata mmoja kutoka Yanga,azam na simba
 
Unajisahaulisha na Arusha mnajenga kiwanja Chenye capacity za 1960s. Karne hii kiwanja cha 20k capacity pengine kiwe cha badminton
mji wa population chini ya 1 milioni,unataka tujenge uwanja wa capacity ya elfu 60,nyie ni wehu,fanyeni reaserch viwanja vya gabon alivyohost afcon 2017,vyote ni mabanda ya kuku kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…