Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukitaka kujua kama hawa jamaa ni Miku..ndu hizi ndio hizo china square wanataja kuwa nazo, them actually normal supermarkets. ๐Ÿ‘‡๐ŸพView attachment 3195829ingine hii ๐Ÿ‘‡๐ŸพView attachment 3195830๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Hivi hawa Vichaa wametuonaje.?
Shida yao ni moja, hawapendi kupitwa na Tanzania, wanaleta ubishani mpaka kwenye vitu vipo wazi kabisa, mfano mpaka leo bado wanabisha kuhusu sgr japo wanaona aibu lkn tungekuwa hatuifahamu vzr nchi yao wangeungana kuongopa, mtu mpaka leo anabishana kuhusu uzalishaji wa umeme baina ya Tanzania na Kenya, really? Alafu walivyo sio waaminifu, wote wanaungana kubishana kitu ambacho wanajua wamezidiwa, sisi humu ukiongopa tu kuna mtu atakuja akusahihishe, ni kwasababu tuko matured enough no room for lies, kwasababu kama huna huna tu hata ufanye nn, wakenya wana safari ndefu sn kuja kuwa civilized people.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwa hiyo pesa you could have built the whole city of Kisumu. Labda unaota wewe.
I thought in 2025 you could have become a better person, Kumbe wewe bado ni tu Yule baboon wa 2024.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mzee hizi ni duka za kawaida the likes of Oca deco and Danube home and Home city Dar es Salaam. Usilazimishe vitu we kilaza. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
We are not talking about deco shops au maduka ya kuuza home appliance pekee wacha ushamba. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ China Square inauzwa karibu kila kitu apart from chakula. Nyinyi ngojeni stalls zenu in peace. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

View: https://www.youtube.com/watch?v=mSv2i1AOfWU
 
Wanakuja kununua kwa stalls. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
Ushawahi fika kwenye niashara kubwa ya jumla yoyote hata hapo kwenu.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ seems you are ignorant. Always biashara za jumla zinakuanga na ka display kadogo. Huyu hapa ni baba Levo akiwa turkey huko kwene commercial and logistic center. Check hizo displays in it. Baba Levo on Instagram: "Wafanyabiashara Wa DECORATION Hili Hapa CHIMBO LENU Hapa UTURUKI ๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป Njooni ISTANBUL @silent_ocean_ltd TUTASAFIRISHA MZIGO WAKO MPAKA TANZANIA KWA BEI NAFUU SANA ๐Ÿ™". Haya toka upumbavu ulionao hapa. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
We are not talking about deco shops au maduka ya kuuza home appliance pekee wacha ushamba. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ China Square inauzwa karibu kila kitu apart from chakula. Nyinyi ngojeni stalls zenu in peace. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

View: https://www.youtube.com/watch?v=mSv2i1AOfWU

Pitia hii wewe kilaza ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

Hii ni Normal duka. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ usifosi mambo.
 
Kwani duka mpaka liuzwe sukari na mboga.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Si hizo ndio supermarkets mumezoea huko bongoslum, unanionyesha duka ya kuuza home decoration eti ndio kama China Square yenu. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
Wewe ni zuzu hasa. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ anaekuja kununua ubungo si wewe, Labda kama wewe ni business owner, anaekuja kununua Ubongo ni wafanya biashara wakubwa kilaza wewe.
Yeye anadhani biashara ni simple sn, yn mtu aache kuja kuchukua mzigo wa jumla kwa bei rahisi aende kuwauzia kina nairobae at exorbitant price apige pesa, eti asubiri mzigo pale kwenye ile inefficient port of mombasa kwa masiku kibao. Wakenya watake wasitake maduka yao yatajaa bidhaa kutoka China ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom