ni supermarket kama supeemarket zingine yani hawa jamaa ni wivu wakuona kua pale ubungo ndio patakua china ya africa hii na time will tell kama walivojazana kariakoo wakinunua nguo kwa jumla na hapo utawaona piaUnampiga nyundo lakini yupo tu. πππ
China square ni normal supermarket. Wewe ukitaka ulie. Ila ukweli utabaki hivyo.Si hizo ndio supermarkets mumezoea huko bongoslum, unanionyesha duka ya kuuza home decoration eti ndio kama China Square yenu. π€£ π€£ π€£
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
China Square Kisumu, watu wa one city country mtulie mngoje stalls zenu ziishe, hii level hamjafika bado.China square ni normal supermarket. Wewe ukitaka ulie. Ila ukweli utabaki hivyo.
Unataka nikueleze kwanini Tz sio one city country but kenya ndio ipo hivyo.? πChina Square Kisumu, watu wa one city country mtulie mngoje stalls zenu ziishe, hii level hamjafika bado.
View: https://www.youtube.com/watch?v=jimtNbAtaaA
Leo mmepata approval mnashangilia hao. π
Unaumia ukiwa wapi?Leo mmepata approval mnashangilia hao. π
Wewe mwenye unaita garage showroom au mtu mwingine? π€£ π€£Unataka nikueleze kwanini Tz sio one city country but kenya ndio ipo hivyo.? π
Mko serious na train kukwama ama? π€£ π€£Watu tuko serious nyie mnaleta uchale.
hya tembeeni sasa uchi ππππ
Unataka nikueleze ni kwanini.? ππWewe mwenye unaita garage showroom au mtu mwingine? π€£ π€£
Nataka unieleze mbona train yenu inakwama kwama hadi abiria wanawekwa kwa mabasi.Unataka nikueleze ni kwanini.? ππ
Just because Tanzania inatumia electric train for the first time doesn't mean the technology is new. Jifunze kuelewa mambo rahisiWe msenge kwetu ni new technology ila kwenu bado hata haijaanza kutumika, so hamna hadhi hata ya kuiita new technology, mpaka pale mtakapoanza kuitumia. Na ni lazima mje kujifunza huku mana kwenu itakuwa ni new technology ila kwetu haitokuwa hivyo, the same applies to brt huko kwenu. Tumewaacha mbali sn.