Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hivi haipiti siku bila vyombo vyao vya kujadili maendeleo ya Tanzania.
Nchi ni siasa za kikabila tu na maandamo yasiyo na kichwa wala mkia. 😂😂😂
Wakenya wengi ni wajinga, yn wao ni siasa kuanzia asubuhi mpaka usiku kuanzia wakubwa mpaka watoto, wazee na vikongwe wote ni siasa, hawajadili maendeleo but siasa. Kenya kila mtu anataka kuwa raisi mpaka wanusa gundi wa humu nao wana ndoto ya kuwa raisi, ndiyo mana hawana adabu.
 
Muonyeshe hii hapa. Uwanja mzima una vitu sasa.😂

View attachment 3223459
Screenshot_20250203-142139~2.png
 
Wewe kila siku huwa nasemaga huna common sense. Sasa % za watu kutokuwa na papers zinahusiana vipi na idadi ya watu wote wa KE na TZ walioko US.? 🤣🤣🤣 watanzania walio wengi hawawezi kusafiri umbali mrefu hivyo kufanya maisha illegal.
Jamaa wanadandia mpaka ndege ili kukimbia hard huko kwao aiseee, can you imagine!!??
Screenshot_20250203-142432~2.png
 
No serious Kenyan compares Zanzibar to Mombasa bro. Mombasa is the the 4th biggest city in the EAC with the 4th biggest GDP and with the busiest port in EAC and the second busiest port in Africa and third busiest airport in EAC. Kenyans normally compare Zanzibar to Malindi and Diani. There is no city other than Dar in Bongo that is worth Mombasa's time. Usijipe umaarufu Bure.😂
Duuhhh, Mombasa hii hii au kuna nyingine 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
hii ndio JKiA munadanganywa humu ndani ni modern? 😂😂😂😂

yani hata nyegezi bus terminal ni ultra modern kuliko huu utumbo

View attachment 3223533
Unaambiwa kuna rushwa hapo sio mchezo, yn Bole kuna afadhali mana Bole ni wizi, ila hapo ni wizi plus rushwa. Uwanja hauna hata arrival area, conveyor belt zishakufa, mizigo ya abiria inabebwa na punda, Kenya bhn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom