buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,119
Wasaidizi nao jau, muda wote wanawaza ujinga wowote wenye praise ya "MAMA" Badala ya kufatilia mambo aonekane ana delivery.hata yeye kulikuwa na tatizo Avic Ring Road na Yapi Merkezi ugawaji wa lot 3 na 4 haukufuata taratibu!
Mijitu mizima ipo "KADANCE NA MAMA"
Ufuatiliaji Zero kabisa.