buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,119
Walishafanyiwa mtu akaja kuharibu na aliyeharibu analalamika.yani tanesco bado kuna shida kubwa sana yani ni jipu ambalo linahitaji mtu katili sana nje ya hapo urasimu uko pale mpaka kiyama
Imagine enzi za mzee Tanesco kuanzia chini hadi waziri wote walikua watu wa umeme yaani hadi kulikua na timu ya ya Engineer tu, imagine licha ya kuwa na vyanzo vichache tulikua na huduma ya umeme ya kueleweka.
Now licha ya kuwa na JNHPP wapo wanajivuna jivuna unakata hata bila taarifa.
Imagine unamtoa mtu DSTV unampa TANESCO? Unategemea mambo yaende.
Alafu mambo ya kulalamika kwa mkuu wa Nchi ni ujinga. Kwani hana power ya kuwatimua na amewaweka mwenyewe