Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

3B57FBA7-78C5-455B-8DE5-8BB491AB4F4B.jpeg

Dose ya malaria ianze sasa
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Lupaso.
 
CD671BC9-CFB8-42F2-838E-21FCAD5585EB.jpeg

Kuna hii hapa dom kama dom🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sema watupe render tutambe nazo
Pia Hope utakua uwanja mkubwa east Africa and central
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
1.benjamin mkapa—-dar es Salaam
2.Arusha stadium——-Arusha
3.Aman stadium—- Zanzibar
4.Dom stadium—- Dodoma
5.Fumba stadium—-Zanzibar loading__
6.Suluhu stadium—-kizimkazi

Bado viwanja vya mazoezi wakenya adi hapo amuoni tayari tumew
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥
 
Ila jamaa wapo na picha kuanzia uzi unaanza. Unakumbuka kuna mpumbavu alikuja kuleta picha za uwanja wa Ndege wa Arusha waliozoeshwa kulingishiwa.

Ila watu ndani ya miaka 7 tumefumua maeneo mengi asee hii miradi yote nawaza ukiwatupia Wakunya Finance bills ngapi zitapitishwa kufidia madeni.

Imagine hawana miradi ya kueleweka na mishahara kulipa kizungumkuti, Madawa hospital chalii wakati ndio kwanza tunakabithi vifaa na madawa hospital kila kijiji na kujenga Bohari kubwa za dawa.

Nimewahi sema humu MSD ni ya kipekee Africa mijitu inaleta ushabiki yaani hadi kuna nchi zinaomba MSD iwasaidie kuprocure na kuwafikishia madawa.

Msishangae kichaa mmoja anakuletea picha za viwanja vya ndege vya Zamani humu licha ya kujengwa. Ikiwa kuna mtu ana takwimu za 2014 anatembea nazo kila siku.
 
ngoja tuone wa Kigoma utakaaje pia! Huku ni mwendo wa Wakunya kupigwa kama kwenye bus terminals!
 
Wameisha sanda tayari hawana jipya kila kukicha ni vipicha hivyo hivyo tofauti na talanta PPP mradi ni Chinese People nchi imefilisika
Ila jamaa wapo na picha kuanzia uzi unaanza. Unakumbuka kuna mpumbavu alikuja kuleta picha za uwanja wa Ndege wa Arusha waliozoeshwa kulingishiwa.

Ila watu ndani ya miaka 7 tumefumua maeneo mengi asee hii miradi yote nawaza ukiwatupia Wakunya Finance bills ngapi zitapitishwa kufidia madeni.

Imagine hawana miradi ya kueleweka na mishahara kulipa kizungumkuti, Madawa hospital chalii wakati ndio kwanza tunakabithi vifaa na madawa hospital kila kijiji na kujenga Bohari kubwa za dawa.

Nimewahi sema humu MSD ni ya kipekee Africa mijitu inaleta ushabiki yaani hadi kuna nchi zinaomba MSD iwasaidie kuprocure na kuwafikishia madawa.

Msishangae kichaa mmoja anakuletea picha za viwanja vya ndege vya Zamani humu licha ya kujengwa. Ikiwa kuna mtu ana takwimu za 2014 anatembea nazo kila siku.

ngoja tuone wa Kigoma utakaaje pia! Huku ni mwendo wa Wakunya kupigwa kama kwenye bus terminals!
 
View attachment 3232947
Kuna hii hapa dom kama dom🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sema watupe render tutambe nazo
Pia Hope utakua uwanja mkubwa east Africa and central
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
1.benjamin mkapa—-dar es Salaam
2.Arusha stadium——-Arusha
3.Aman stadium—- Zanzibar
4.Dom stadium—- Dodoma
5.Fumba stadium—-Zanzibar loading__
6.Suluhu stadium—-kizimkazi

Bado viwanja vya mazoezi wakenya adi hapo amuoni tayari tumew
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥
Serikali sasa iangalie haya majiji yafuatayo.
1.Mbeya= Stadium
2.Mwanza=Stadium
3.Tabora=Stadium

Na arena za kuhost matamasha ya Music
 
Wazee wa Ngija ngija la Mchina tayari madeni yakawalemea stalled projects kila kona, mishahara hamna.

Hebu fanya tuwatupie hii miradi itakuawaje imagine kamradi ka $3 bill kaliwafanya wapoteane kiuchumi (SGR ngija ngija).

Tukiwapa hii itakuwaje.

1. JNHPP - $3 billion sawa na ngija ngija Commenced 2019
1739264423935.png

1739264452395.png

View: https://youtu.be/W0w1aIZAQv4?si=XuNvGXG-QnQbdHnS

2. Msalato Airport - $329.47 million Commenced 2022
1739264581236.png

1739264613307.png

1739264683312.png

1739264747512.png

3. SGR - Dar Moro - $30 billion (biggest of all) wazee waliishia maporini na $3 billion.
1739267715583.png

1739267769894.png

1000026044.jpg

1000006218.jpg

4. BRT all phases - Over $1bn phase I on operation, Phase II complete, Phase III Complete, Phase 4, 5 ongoing wazee walikopa $2.5 billion from Korea Kuchora BRT ONLY
1739264887944.png
1739265010611.png

Bus terminals total costs over $100m commenced 2019
Magufuli
1739265718467.png

1739265756402.png

Nyegezi
1739265830948.png

Nane nane
1739265850393.png

Nyamahongolo
1739265875472.png

Kange
1739265993916.png

1739266063393.png

bado zile za Znz

Mji Mkuu wa Kiserikali (Magufuli City) $5 billion commenced 2020
1739266209659.png

1739266299132.png

New State house commenced 2020
1739266432207.png

Revival of The Wings of Kilimanjaro over $194 million 2016-Present 17 planes paid CAAAAAAAAAAAAASSSSSSHHHHHHHH
1739266834445.png

1739266889374.png

1739266922251.png

Airports Constructions
1739267009628.png

1739267049134.png

Damns nimechoka kutype wengine watamalizia.

Jamaa jau wabishi licha ya hizo project zote GDP surplus inawazidi wazee wa cooked GDP na miradi ya PPP miwili mitatu ambayo baadae wanalia hadi hawakopeshepi, tungewapa hiyo yote si wangejifia, muda huu wapo busy kujenga mabweni.

Licha ya miradi yote bado pesa zinamiminika hata waziri wa fedha tu anatosha kusaka dili la $1 billion, njoo sasa kwa wenzetu sasa kufikisha MALABA bakuli mchina kalikataa wakati huo huo Mchina katoa $1 bn for TAZARA, yupo hadi Dubai kubembeleza na unaambiwa ni matajiri

Hebu Imagine hiyo miradi tuwatupie wakunya.
 
Back
Top Bottom