Mbilikimo na nyororo futi kumi shingoni 🤣🤣Sijakutag, nimekuquote, sijakuDM, nimekuquote. This is a public forum and we are allowed to quote anyone na sio wewe pekee ninayemquote. Labda uko dry spell ndio maana kitu simple kama kuwa quoted inafanya uone mtu anakutaka. Mbilikimo kama wewe nimtake ndio nimpeleke wapi? Ona ulivyochokaa. Pthoo. Halafu tabia zenyewe za kibinti.
View attachment 3235492
Tutanamani uwanja wenye mende?? Astaghafulilaaah!!Wanatamani design ya Talanta, alafu hii stadium kwani imekuwa designed with no seats? So where are they getting the 22k seats from?😂😂😂
View: https://x.com/CharlesChelsea_/status/1889996113769537794
acha watu wapige pesa mzee, acha machawa washangilie huku wanapiga pesa kiulaini 😂😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻Idadi ya seaters ni wachache 😳👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DGBA_VYO4-2/?igsh=cWhiZG1pMXZtZDE0
hawa wapumbavu vp? wapi walipobuni BRT system wakaweka huo mradi ukafanikiwa? Hebu watuambie! Badala ya kuongeza mabasi wanakuja na idea za kipumbavu! BRT huko walipoanza siku nyingi kama Colombia mbona wasifanye hivyo?
Unaota Talanta kukwama while we are on the third floor already wakati nyinyi mmeshinda kuspchimba foundation ya Arusha 20k seater stadium for a year now. Going by the soeed mnaenda nayo it’s obvious 2027 itafikia before mmalize that stadium.Naam bila shaka serikali yetu imegundua kuwa jirani ni mmbabaishaji ndiyo maana wamekuja haraka na Dodoma stadium ili jirani akikwana talanta ya mchina tunachukuwa mechi zake zitakazo pangwa kupigwa Naipori maake wao kila kitu ni naipori
🤣🤣🤣 umekariri.? 👇🏾.Unaota Talanta kukwama while we are on the third floor already wakati nyinyi mmeshinda kuspchimba foundation ya Arusha 20k seater stadium for a year now. Going by the soeed mnaenda nayo it’s obvious 2027 itafikia before mmalize that stadium.
Baada ya kuona hivi nyang'au akina NairobiWalker wameacha ile 'daily dose' yao waliyokuja nayo kwa mbwembwe hapo awali😂Viwanja vipya vya mpira TZ vilivyoanza ujenzi last year and this year huu.
1.Suluhu stadium 20k seats .
2.Arusha stadium 30k seats
3.Dodoma stadium 32k seats.
Ni kweli, ila wenu naona canopy imekuwa extended mpaka kwa kipa, hongereni sana, nawapongeza😅Watanzania ni lini mtaacha kuwa wajinga? All the stadiums in the world have canopies.
Upumbavu, ongeza mabasi watu waache magari binafsi wapande usafiri wa umma.
Roho ya Mkunya inatamani kutoka kwa wivu na roho mbayaWanatamani design ya Talanta, alafu hii stadium kwani imekuwa designed with no seats? So where are they getting the 22k seats from?😂😂😂
View: https://x.com/CharlesChelsea_/status/1889996113769537794
Yaani tuwe level moja na slum dwellers usijenifanya nianze kuliaZile mauongo watanzania wanalazimishwa kusema ndio waonekane same level na wakenya zinashangaza sana.😂😂