Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ivi watumishi huwaga wanapewa target kweli?

Kingine unaweza kuta tunawaonea bure sababu unakuta mtumishi akijaribu kufanya kazi watu wanaletea siasa maeneo yao ya kazi wanaamua kuacha wasubiri maelekezo.

Siasa zipunguzwe kwenye utendaji, zaidi ya siasa zibaki kuomba matokeo.

Mfano mzuri, KITENGO CHA TANROAD cha hifadhi ya Barabara Watumishi tuseme Dar watafanya kazi gani maana wakiamua kila vijiwe vya Bodaboda, Machinga, bajaji watoke hifadhi ya Barabara utasikia siasa zinaingia waachwe waachwe licha ya Sheria kukataza.

Mzee sikumkubali kwa hili la Wamachinga
 
Ila kariakoo hasa msimbazi road...Hali ni mbaya sana...hakuna hata sehemu ya kupita, huku boda, huku cover za simu, watu mpaka wanapita katikati ya barabara za mwendokasi
 
Hamna real estate company kubwa zaidi ya NHC East Africa!
If that was the case, it could have reflected in a boom in construction projects in your capital. Tell us any meaningful real estate development projects going on in Dar and their value
 
Tatizo jamaa hawana identity yoyote kama nchi hapa Africa. Yaani ukienda SADC Kenya haeleweki kama nchi zaidi ya kukaa upande wa mabeberu, shombo nyingi. ULIZIA TZ ina alama kwenye independence yao, post independence relations, wameshirikiana mambo mengi, kuna nchi SADC Comoro, Seychelles post Independence zishawahi saidiwa kutuliza Mapinduzi via Tz.

Njoo EAC, Burundi yupo na Tz kuzima chokochoko za PK, PK alipita Tz kusaka ukombozi Rwanda, MUSEVENI ndio huyo aliwekwa Via Kagera War, DRC Kabila kapitia mafunzo huku JKT na TMA Monduli.



Nenda North Africa jiulize Ghaddafi alimjuaje Nyerere hadi kumuweka kwa Shati.



Egypt kipindi cha Nasser kipindi ambacho Kunyan walikua busy kuchomea viongozi wengine no msaada.

Leo kuna jitu linakuja Kuomba kura na kuna nchi nyingi halimjui kabisa kwenye vitabu vyao. Na atapata kweli?


I say nikikumbuka hivyo vyote we have fallen low na viongozi waliopo yaani kuendekeza ujinga badala ya kucapitalize influence maana ilikua kubwa walitakiwa kucapitalize sio kuitumia ovyo na kuruhusu wengine waitie doa benefits of influence mfano mzuri ni South Africa. Badala yake wanatumia machawa.kuponda zile sera za Nyerere zilizowapa influence na wakashindwa itumia.

Badala ya Ubalozi kuhakikisha watanzania wote wapo documented na kupewa mamlaka husika kuepusha kina Nyang'au na Mataifa Mengine ya EA kujifanya watanzania wakiingia SA kwa kutumia loophole mpaka nasi tukaonekana wasumbufu.

Same kwa Passport yetu, nakumbuka nchi za Nordic zilikua na free visa for Tanzania sababu ya Non-Aligned Movements (NAM) same vision yao ya Neutrality kingine hatusafiri sana na hawatuoni sana hivyo kufanya for Africa Passport yetu kuwa na nguvu kwa kuwa kama kawa upuuzi ukazidi Wahindi, Wanigeria wakawa wanachukua passport za Tz unapata free pass ila ukiwa kwa ndege unaflash passport mpaka shirika la ndege wakalalamika visa free bye bye.

Situation naona inaelekea tena China.

I believe tungekua tunacapitalize Influence yetu tusingekua hapa.

Mfano unamlea KABILA unampa mafunzo ya Kijeshi alafu anakua rais upo upo tu.
 
Wakenya tunawapiga kwenye Gospel Music Ngoja nianze kuwaweak most viewed wanamziki wa Injili Tanzania

1. Zabron Singers - Kahama Shinyanga



 
Is it God punishing Africans that we are led by idiot leaders!!? M23 Jana wameingia Bukavu,Cha kushangaza Tshisekedi yupo ulaya anasherekea valentine's day na mke wake🤔🤔
View attachment 3236749
Duh Qudadeq, Hawa jamaa hawapo serious na linchi lao.

Itabidi wanajeshi wetu wafanye chochote wakamate eneo tuvute madini maana linchi halipo serious.

Imagine kuna waasi wanaingi nchini na Raisi mipaka na nchi anayoishtumu haifungi, kuifunga namaanisha kijeshi, Wanajeshi wake wanakimbia nchi nyingine kukwepa mapigano duh! bado Mercenaries aliokua amewakodi wanaenda nchi ambayo anaishtumu mercenaries na data zote za kijeshi wanapitia RWANDA seriously?

Angekua serious angefanya hivi.

1. Funga Mipaka yote ya Uganda na Rwanda kijeshi.

2. Toa executive order ya Makampuni yote ya uchimbaji kusitisha shughuli hadi waasi washughulikiwe (I believe hata mataifa wanaotoka wangeona ishu sasa serious maana supply ya madini inaenda kupungua) Huenda wangemsaidia kuwapukutisha.

3. Maafisa wote wa kijeshi goma Kivu wawe on official leave chini ya uangalizi, battalion yote ya kivu ipelekwe kwingine chini ya uangalizi.

Sababu kuna wanajeshi wameenda jisalimisha huko nchi jirani plus Mercenaries, so kuleta watu wapya Waasi wasio na info nao.

Weka Battalion mpya ukizingatia una SANDF.

4. CURFEW au Order ya watu wote wa miji ya kivu kuondoka kwenda sehemu nyingine hadi waasi washughulikiwe. Hakuna huruma ukikutwa ni Risasi ya kichwa, anatangaza hali ya Dharura ya kijeshi.

5. Mipaka ya Uganda na Rwanda haitafunguliwa hadi wakabidhi wanajeshi na waasi wote waliojificha kwao.

Naamini hata ingeshake kidogo hata kupelekea watu kuwa serious.

Imagine hakuna kampuni inayooperate tena mpaka waasi washughulikiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…