buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 4,678
- 11,357
Hapo Mbeya sehemu za hadhi ni wapi na viwanja vikoje Mzee?
Naulizia Zinarange kuanzia shilling ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
When Waria takes the street of Nairobi over!
View: https://x.com/Mo_Magoda/status/1890329786431524974
Ila kariakoo hasa msimbazi road...Hali ni mbaya sana...hakuna hata sehemu ya kupita, huku boda, huku cover za simu, watu mpaka wanapita katikati ya barabara za mwendokasiIvi watumishi huwaga wanapewa target kweli?
Kingine unaweza kuta tunawaonea bure sababu unakuta mtumishi akijaribu kufanya kazi watu wanaletea siasa maeneo yao ya kazi wanaamua kuacha wasubiri maelekezo.
Siasa zipunguzwe kwenye utendaji, zaidi ya siasa zibaki kuomba matokeo.
Mfano mzuri, KITENGO CHA TANROAD cha hifadhi ya Barabara Watumishi tuseme Dar watafanya kazi gani maana wakiamua kila vijiwe vya Bodaboda, Machinga, bajaji watoke hifadhi ya Barabara utasikia siasa zinaingia waachwe waachwe licha ya Sheria kukataza.
Mzee sikumkubali kwa hili la Wamachinga
If that was the case, it could have reflected in a boom in construction projects in your capital. Tell us any meaningful real estate development projects going on in Dar and their valueHamna real estate company kubwa zaidi ya NHC East Africa!
Kijana wa Tandale ni wapi ulisikia Nyayo will host AFCON?Hawa wakenya ni majokers sn, yn huu ndiyo uwanja uchezwe mechi za Afcon na Chan?
Kwahiyo mtakua viwanja mbili za ku host Afcon.? 🤣🤣🤣Kijana wa Tandale ni wapi ulisikia Nyayo will host AFCON?
Halafu pata picha EU imeikataza Air Tanzania Kutua EU cities!Yaani sisi top 1 yetu 1 ndio rest of the Kunyaland top 5 😅😅😅 sasa hiyo GDP yao ni ya nini?
View attachment 3236843
Kwenye ndoto zao!Kwahiyo mtakua viwanja mbili za ku host Afcon.? 🤣🤣🤣
Hoima Stadium in Uganda progress. Kule Arusha bado wanachimba shimo za foundation.
View: https://youtu.be/XRaEBNHte74?si=LN5g5HJKueW2bq4W
Duh nikaangalie Fursa za Ardhi kuwekeza huko, maana si kwa spidi inayokuja hapo.Tabora🇹🇿🇹🇿
View attachment 3236677
You haven't answered the question. Jibu swali nimekuulizaKwahiyo mtakua viwanja mbili za ku host Afcon.? 🤣🤣🤣
Duh Qudadeq, Hawa jamaa hawapo serious na linchi lao.Is it God punishing Africans that we are led by idiot leaders!!? M23 Jana wameingia Bukavu,Cha kushangaza Tshisekedi yupo ulaya anasherekea valentine's day na mke wake🤔🤔
View attachment 3236749