Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila kariakoo hasa msimbazi road...Hali ni mbaya sana...hakuna hata sehemu ya kupita, huku boda, huku cover za simu, watu mpaka wanapita katikati ya barabara za mwendokasi
Nilienda.majuzi nilisikitika sana kwanza napaona hapafai tena inatakiwa kujengwa elevated bridge chini iwe full pavement.

Or Serikali ichukue maamuzi magumu kulihamisha soko la Kariakoo ijenge kama hivi kwa wamachinga

Check kuanzia 0:13 mpk 10dk


View: https://youtu.be/CcMZXNS4_fY?si=xXDGnJHTrftXDu2Z
Or Serikali iachie TANROAD na Mgambo wa jiji wafanye kazi
 
NHC ya kenya huwezi kamwe kulinganisha na Giant nhc ya Tanzania
NHC Kenya's projects

VS

NHC Tanzania's projects

CC: Teargass
 
Kwanza hii kazi ya utumishi inapaswa kuwa ya mkataba na isizidi miaka 10 mtu anatoka anawaachia wengine.
 
Duh nikaangalie Fursa za Ardhi kuwekeza huko, maana si kwa spidi inayokuja hapo.

Nani mwenyeji wa huko humu?

Ndio Raha ya Tanzania popote ni home kabisa na wenyeji hamna roho mbaya ya kunyima fursa.
Nipo Tabora mjini
 
If that was the case, it could have reflected in a boom in construction projects in your capital. Tell us any meaningful real estate development projects going on in Dar and their value
prank unamchafua mtu namna hiyo?
 
Your NHC has only completed 4 projects so far😂😂😂



Only one ongoing project, hizo zingine are all stalled.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…