buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 4,678
- 11,357
Nilienda.majuzi nilisikitika sana kwanza napaona hapafai tena inatakiwa kujengwa elevated bridge chini iwe full pavement.Ila kariakoo hasa msimbazi road...Hali ni mbaya sana...hakuna hata sehemu ya kupita, huku boda, huku cover za simu, watu mpaka wanapita katikati ya barabara za mwendokasi
Or Serikali ichukue maamuzi magumu kulihamisha soko la Kariakoo ijenge kama hivi kwa wamachinga
Check kuanzia 0:13 mpk 10dk
View: https://youtu.be/CcMZXNS4_fY?si=xXDGnJHTrftXDu2Z
Or Serikali iachie TANROAD na Mgambo wa jiji wafanye kazi