Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kabla hujalalamika, Do you guys even have what to compete.

Raila ni Skilled sasa yupo wapi?

Hao wasanii chungu nzima ukitoka nje ya Kenya nani anawafahamu.

Airtel wenyewe wamekujibu wanatumia mtu ambaye hana mipaka ya kufahamika Africa upo unaleta hadi UN HABITAT seriously?
 
tit for tat mfanye mara ngapi si mlimzuia Diamond ku-perform Kenya? Mmefika wapi na sabotage zenyu? kafanya release za ngoma ngapi na ana-trend bado na amealikwa kwenye events ngapi ever since including huko Ukunyani? Au unafikiri Diamond ni level ya East Africa tu? Mtaumia mzee!
 
Jamaa anazingua.

Ivi kweli Tanzania tungekua na Inshu hiyo muda huu tungekua na vikao kweli?

Hao wa kibiti wangekua washakomaa huko Congo, Same na wale wa Kusini, Mapango ya Amboni, Ujambazi wa Bank, Ujambazi wa Kigoma.

Op. Kimbunga
Op. Kibiti
Op. Pori la Loliondo
Op. Mwanza

Zilifuta kila kitu.

Ila kuna watu wanachekea.

Mbona Tanzania iliweza timua Wanyarwanda 20k Nchini baada ya Chokochoko kule Kigoma, Kagera kama sehemu ya kutia adabu M23 2013.

Congo Jau sana hawana Mtu kama Mamadou Ndala siku hizi na kufanya kazi na jeshi lao ni jau sana Jeshi linawaza muda wote kutoroka au kujisalimisha.
 
Halafu Kagame akaufyata! Mwamba JK alienda Muleba mkoa wa Kagera mpakani mwa Rwanda na Tanzania akachimba biti halafu akaanzisha operation ya kuwasaka Wanyarwanda woote Tanzania na kuwarudisha kwao!

View: https://youtu.be/aDci72DG9D4?si=6jbVeNUq8_3OcGTJ
Baada ya kuongea huu ujinga

View: https://youtu.be/xUzK5c-V6q4?si=ibIZv_NuonfoWA5F
Hawa wapumbavu humu ndani NairobiWalker, Teargass n IamLee hawajui hilo! Majuzi hawa Wakundustans waliingilia zoezi la kuwahamasisha Wamasai Loliondo wakakiona cha moto!

Hivi ndivyo alijibu baada ya kuwa mdogo kama piriton!

View: https://youtu.be/xldqhZBvm9U?si=4tmY32Fgtr-Blvnx
 
Congo ni the biggest failed state on planet, tunapaswa kuachana nao au tukiwasaidia tuhakikishe tunajilipa.
 
Kwa hivo Vodacom waliomchagua Silvia Mulinge ni wajinga wewe kinyangarika wa vijiweni Tandale unajua kuwashinda? Hivi unadhani Vodacom ni kikampuni cha kishambashamba kama hivyo vyenu kichague mtu asiye na skills awe Managing Director wa Kampuni yao? Huyo Mulinge mbona alienda Uganda MTN na anafanya vizuri wakati huyo Mmisri mliomchukua kisa mnachukia Wakenya alishindwa na kazi?
 
Nani kamzuia Diamond kuperform? Diamond alikorofishana na mwanamziki mwenzake alafu akakataa kuperform mwenyewe. No Kenyan authorities prevented him to perform. Hatuna hizo roho zenu huku.
 
Mbona unatuforce kuingilia vigogoro vyeni na vinchi vidogo size ya County Moja hapa Kenya? You're always angling for our validation aren't you?
 
Kilio Cha mwizi 🀣🀣🀣 wacha wavune matunda ya kujiona wao ni wamarekani weusi,hata kama wakitoka AU Africa utaendelea tu bila wao. Huu ni ujumbe kwamba Africa haitaki masnich.
View attachment 3237692
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜¬πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/itskipronoh/status/1891050598029484505?t=nMrYIMTLRFPdXao6yLW0Jg&s=19
 
Watakwambia Simba hajui lugha ya mkoloni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…