buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 4,678
- 11,357
Kabla hujalalamika, Do you guys even have what to compete.Mada ni wewe kuita Wakenya roho mbaya kisa wengine wao kachukizwa na Diamond kuchukuliwa. Usibadilishe mada. In fact ingekuwa huko Bongo serikali yenu ingepinga, saa zingine mimi huona serikali yetu inakuwa nzuri kwa majirani sana kupitiliza. Ipo siku tutapata yule Rais wa tit for tat mtakielewa.
Raila ni Skilled sasa yupo wapi?
Hao wasanii chungu nzima ukitoka nje ya Kenya nani anawafahamu.
Airtel wenyewe wamekujibu wanatumia mtu ambaye hana mipaka ya kufahamika Africa upo unaleta hadi UN HABITAT seriously?