Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hongera! to my Homeboy in Texas … Tufaha Resort Nanyuki …Now open.. please stop by if you are in this neck of the woods …#Kenyandiasporapower..
IMG_5924.jpeg
IMG_5925.jpeg
 
Dead Magufuli had no right nor authority to stop appointment of Mulinge by Vodacom you idiot. All he did is deny her a work permit. Something that the government of Kenya could do to Tibaijuka kama tungekuwa na roho mbaya kama hizo zenu. Huna akili.
He did n there was nothing u could do about! N Kenya can‘t stop any UN Appointees that‘s the fact! Just like u sorry asses making the noises about Bhati AIRTEL picking Diamond for their one network company across Africa! He must have a hefty payment!
 
Ninyi mmeshapunwa hela bana mission failed kwa aibu kubwa, eti capital of Africa wakati hata kuweka kiongozi hamuwezi, hamna influence hamna impact, yaani Africa imewaambia Kenya ni trash, zingekua ni nchi zinazojielewa na ushawishi kama Tanzania au SA ni seconds
Mission failed aje na tulikuwa tunataka apoteze? 😂😂 mbona unalazimisha vitu?
Sisi tulikuwa tunaandikia emails marais wasimpigie kura Raila, lakini nyinyi mmhamjafika hio level na ndio maana mnachanganyikiwa 😂😂
A loss for Baba is a win for the Kenyan mwananchi, its the political class who are at a loss not us. Unlike you guys we can differ from the politicians
 
Back
Top Bottom