Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Nchi ya Remittance!
Unajua nikiona hii naona tumelala kwenye 1. Fish and Fish products (Kilwa port na Bagamoyo Fishing port zitasaidia ) , bado 2. Manufacturing tunauwezo mkubwa hasa ukizingatia kiwanda cha Sino Tan park na viwanda vingine ongoing bado, kuna potential ya ku triple that 3. Iron na coal and related products hapa ni mchuchuma na liganga bado haijanza 4. LNG sijataka kugusia 5. Bado holticulutre inaweza fika 1bil usd kama nchi 6.Hii hapa π π
View: https://www.instagram.com/p/DGIZGy0IPyA/?igsh=MWcwNDBneTltcHJsdw==
Note: Mwaka Jana mvua zilikuwa nyingi sana so non cash crops zilifanya vibaya in terms of production,losses due to infrastructure damages etc.eg Oil seeds iliwahi zipita zote hizo except Horticulture
Leta render!
wanajua tunawafunika! BTW nimecheka sana RAO alichagua yule mwanamama wa Algeria kuwa deputy wake ila cha ajabu Algeria wamemtosa!I expected this,as usual Tanzania must be scape goat of their failures
View: https://x.com/zittokabwe/status/1891229750120653002?t=gcxjB5U376uNdsDBurjVaA&s=19
Hivi viwanja vinne vikikamilika vitasaidia ku-complement Mwanza international airport! Naiona Tanzania ya hub nne yaani Mwanza, Dodoma, Dar na Mbeya!View attachment 3238916View attachment 3238917
Hizi project jumla ziko 4 zote ni loan from EIB bank
1, Kigoma Airport
2 Shinyanga airport
3 Sumbawanga Airport
4. Tabora Airport
Ambazo ni pure goverment ni Musoma airport, Mpanda airport , Songea Airport, Iringa ,na Lindi
anachukiwa! Africa imewatambua kuwa ni vibaraka!Hawa jamaa wanachukia Africa nzimaπ€£
View: https://x.com/MwangiHub/status/1891157020587307204?t=Ur0zft3TfBXEojDq7ek6Vg&s=19
Size ya jengo yanaweza kufanana ila design inakaa tofauti! Nadhani kuna umuhimu wa design kutofautiana!Jengo la Sumbawanga ni zuri japo Sina hakika kama kweli ni sawa na Hilo au hapana.
View: https://youtu.be/Ab78pwDsUwg?feature=shared
3billion usd ya toursim ,au 3.. ya GOLD sio hela inayoingia serikalini mzee baba, hio ni hela inayoingia kwenye uchumi wa nchi
This is what extreme poverty looks like π€£π€£π€£π€£so aliwaambia ibebe hvi πππ
so probox ni gari ya mizigo??
hvi wakenya akili zenu ziko timamu kweli?
View attachment 3238184
Hawa jamaa wanachukia Africa nzimaπ€£
View: https://x.com/MwangiHub/status/1891157020587307204?t=Ur0zft3TfBXEojDq7ek6Vg&s=19
UN HABITAT is not a Kenyan property so Kenya can't decide for them who their employees should be. Did you expect it to have Kenyan employees 100%? We are simply the host nation and as the host nation, Kenya must clear all UN HABITAT employees by giving them work permit. That's the point bongolalaSasa unafikiri kabla UN Habitat hawajaweka ofisi yao Nairobi kulikuwa hamna agreements? GoK haina say kwenye hilo ndio maana top guys si Wakenya! The moment mna interfere watafunga ofisi!
Najua Raila kuangukia pua AU imekuumiza!
Hizo billion 10 zingetosha hata kupunguza deni la mtambo wa piwaMission failed aje na tulikuwa tunataka apoteze? ππ mbona unalazimisha vitu?
Sisi tulikuwa tunaandikia emails marais wasimpigie kura Raila, lakini nyinyi mmhamjafika hio level na ndio maana mnachanganyikiwa ππ
A loss for Baba is a win for the Kenyan mwananchi, its the political class who are at a loss not us. Unlike you guys we can differ from the politicians
I am not sure kama hata hao jamaa wanajua any history ya great lakes region.Halafu Kagame akaufyata! Mwamba JK alienda Muleba mkoa wa Kagera mpakani mwa Rwanda na Tanzania akachimba biti halafu akaanzisha operation ya kuwasaka Wanyarwanda woote Tanzania na kuwarudisha kwao!
View: https://youtu.be/aDci72DG9D4?si=6jbVeNUq8_3OcGTJ
Baada ya kuongea huu ujinga
View: https://youtu.be/xUzK5c-V6q4?si=ibIZv_NuonfoWA5F
Hawa wapumbavu humu ndani NairobiWalker, Teargass n IamLee hawajui hilo! Majuzi hawa Wakundustans waliingilia zoezi la kuwahamasisha Wamasai Loliondo wakakiona cha moto!
Hivi ndivyo alijibu baada ya kuwa mdogo kama piriton!
View: https://youtu.be/xldqhZBvm9U?si=4tmY32Fgtr-Blvnx