Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii hapa πŸ‘‡ πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DGIZGy0IPyA/?igsh=MWcwNDBneTltcHJsdw==

Note: Mwaka Jana mvua zilikuwa nyingi sana so non cash crops zilifanya vibaya in terms of production,losses due to infrastructure damages etc.eg Oil seeds iliwahi zipita zote hizo except Horticulture

Unajua nikiona hii naona tumelala kwenye 1. Fish and Fish products (Kilwa port na Bagamoyo Fishing port zitasaidia ) , bado 2. Manufacturing tunauwezo mkubwa hasa ukizingatia kiwanda cha Sino Tan park na viwanda vingine ongoing bado, kuna potential ya ku triple that 3. Iron na coal and related products hapa ni mchuchuma na liganga bado haijanza 4. LNG sijataka kugusia 5. Bado holticulutre inaweza fika 1bil usd kama nchi 6.

Nadhani wote tunaona umuhimu wa Transport sector inaweza funika hata tourism kama tutakuwa serious na SGR, TAZARA revival project na Mtwara to Nyasa SGR, hapa pia kuna Dar port kupata New container terminals walau Berth 3 za 350m @
 
Leta render!
Screenshot_17-2-2025_84924_www.jamiiforums.com.jpeg
kigoma airport.jpg

Hizi project jumla ziko 4 zote ni loan from EIB bank
1, Kigoma Airport
2 Shinyanga airport
3 Sumbawanga Airport
4. Tabora Airport

Ambazo ni pure goverment ni Musoma airport, Mpanda airport , Songea Airport, Iringa ,na Lindi
 
View attachment 3238916View attachment 3238917
Hizi project jumla ziko 4 zote ni loan from EIB bank
1, Kigoma Airport
2 Shinyanga airport
3 Sumbawanga Airport
4. Tabora Airport

Ambazo ni pure goverment ni Musoma airport, Mpanda airport , Songea Airport, Iringa ,na Lindi
Hivi viwanja vinne vikikamilika vitasaidia ku-complement Mwanza international airport! Naiona Tanzania ya hub nne yaani Mwanza, Dodoma, Dar na Mbeya!
 
Sasa unafikiri kabla UN Habitat hawajaweka ofisi yao Nairobi kulikuwa hamna agreements? GoK haina say kwenye hilo ndio maana top guys si Wakenya! The moment mna interfere watafunga ofisi!

Najua Raila kuangukia pua AU imekuumiza!
UN HABITAT is not a Kenyan property so Kenya can't decide for them who their employees should be. Did you expect it to have Kenyan employees 100%? We are simply the host nation and as the host nation, Kenya must clear all UN HABITAT employees by giving them work permit. That's the point bongolala
 
Mission failed aje na tulikuwa tunataka apoteze? πŸ˜‚πŸ˜‚ mbona unalazimisha vitu?
Sisi tulikuwa tunaandikia emails marais wasimpigie kura Raila, lakini nyinyi mmhamjafika hio level na ndio maana mnachanganyikiwa πŸ˜‚πŸ˜‚
A loss for Baba is a win for the Kenyan mwananchi, its the political class who are at a loss not us. Unlike you guys we can differ from the politicians
Hizo billion 10 zingetosha hata kupunguza deni la mtambo wa piwa
 
Halafu Kagame akaufyata! Mwamba JK alienda Muleba mkoa wa Kagera mpakani mwa Rwanda na Tanzania akachimba biti halafu akaanzisha operation ya kuwasaka Wanyarwanda woote Tanzania na kuwarudisha kwao!

View: https://youtu.be/aDci72DG9D4?si=6jbVeNUq8_3OcGTJ

Baada ya kuongea huu ujinga

View: https://youtu.be/xUzK5c-V6q4?si=ibIZv_NuonfoWA5F

Hawa wapumbavu humu ndani NairobiWalker, Teargass n IamLee hawajui hilo! Majuzi hawa Wakundustans waliingilia zoezi la kuwahamasisha Wamasai Loliondo wakakiona cha moto!

Hivi ndivyo alijibu baada ya kuwa mdogo kama piriton!

View: https://youtu.be/xldqhZBvm9U?si=4tmY32Fgtr-Blvnx

I am not sure kama hata hao jamaa wanajua any history ya great lakes region.

Ushabiki mwingi.
 
Back
Top Bottom