Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Baada ya Trump kukata funding ya HAITI mission sasa anatafuta pa kutokea anataka mission iwe incorporated into UN peace keeping arrangements so that wale karau waendelee kulipwa huko.
Anachoshibdwa kujua makubaliano ya Haiti yalikuwa between Kenya and its masters haikuhusisha Africa sasa naona viongozi wa Africa wanamzoom Ruto kwa mbaali.
 
Ni ngumu kureason na watu wana fikra fupifupi wanaona hizo vitu nasema ni kama sinema tu πŸ˜‚ sijui watafika huko lini
 
Walitaka Tanzania impigie kapeni ndio maana wanalalamika maku Hawa ila maku kiwetu ni kondoo
 
Mlikuwa mnapigia campaign wapi na nani mlifanikiwa kumshawishi ampigie kura huyo yussouf?

Ila haya manyang'au yana vituko sana
You guys are so disingenuous. You know very well that we did not want Raila to head AU, yet you come here claiming that we are crying over the loss of his bid to the AUC. Yani Hamna hata dignity ya kuwa a worthy opponent. Lies upon lies upon lies… mpende ukweli bana
 
Kumekucha
 
Hakuna mtu atakugaieni nyinyi uongozi wa ngazi za juu Africa hii mzee. 🀣🀣🀣 we all know nyinyi ni taifa la kimamluki, hata mngemuweka nani hapo agombee hiyo nafasi msingepata. Facts.
 
hawa watu wamechanganyikiwa aisee πŸ˜‚
 
Kama mlikuwa hamtaki ashinde kwnn kama nchi msimuwekee vizuizi ili apewe mwingine fursa hiyo kabla? So unamaanisha Kenya nzima hakukuwa na mwenye vigezo isipokuwa Raila? Kwann mlitumia pesa nyingi za wananchi maskini kumnadi mtu ambaye mlijua atashindwa? Nyie watu ni the biggest Fools on the planet earth, inabidi kizazi chenu chote kife waje wakenya wengine wanaojitambua.
 
Sijawahi kuona nchi ya watu wapumbavu kama wakenya jamani wana matatizo gani hasa tuambieni ili tujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…