Baada ya Trump kukata funding ya HAITI mission sasa anatafuta pa kutokea anataka mission iwe incorporated into UN peace keeping arrangements so that wale karau waendelee kulipwa huko.
Anachoshibdwa kujua makubaliano ya Haiti yalikuwa between Kenya and its masters haikuhusisha Africa sasa naona viongozi wa Africa wanamzoom Ruto kwa mbaali.