Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

you're a proud consumer of horrible JUNKY foods, than Wabongo :ROACH::ROACH:
That’s how mwenye hawezi afford them can talk. When your minister was opening one Juzi hakujua ni junk?

When you were celebrating KFC kufungua branch pale SGR station hamkujua ni junk?
 
Tabora🇹🇿🇹🇿
FB_IMG_1739791184875.jpg
 
Yeah Jau kuona ni underutilized the Cargo terminal ,Mwanza only needs a standard international terminal ,but sidhani kama inazuia ndege kama UG airlines ,Ethiopian au KQ kutotua sasa hivi cause kama passengers wapo maybe ndege zingekuj tu.
Kusema kweli mtu anayelalamika kuhusu Mwanza Kunyimwa investments atakuwa hana akili! Hata hilo jengo jipya halitaleta tofauti kama wenyeji hawaingii kwenye biashara za kuongeza cargo!
 
Back
Top Bottom