Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I think I posted here before, I know a family from Nyandarua that leases hundreds of acres in central Tanzania for farming… but they always use a Tanzanian citizen subsidiary for political reasons. Their kids reside in Kansas , US and we sometimes talk . I will have them send me latest photos of their investment… the surprise thing they told me is there are many Kenyans doing the same in Tanzania… Kenya runs Tanzania large scale farming….. now watch Bongolala heads explode!..😂
Kwa nini usimwambie babu yako nae aje Ku lease Ardhi alime. Ku lease kuna shida gani kwani?? Mbona kuna watu wakila aina wanalima Tanzania au unafikiri wakenya ndo special?? Kundu lako!!!
 
Unamsikiliza huyo mwehu, hivi hamjawahi kunotice ana ndugu kila pembe ya dunia! Ikija ishu yoyote lazima aaandike sijui “kuna ndugu yangu kuna rariki yake” bla bla kibao “kijijini kwetu” ana ndugu na marafiki kila sekta duniani.
😂😂
Ana ule ushamba wa kutaka kuonekana ana ndugu kila kona ndio maana anatumia nguvu nyingi kudanganya.
 
Wachina wanajenga low grade roads huko Ukunyani
 
Kwani kuna Oloiktoktok ya Tanzania? Mimi nafahamu tu kuna Nairobi Arusha inaitwa Engare Nairobi na pia Kenya kuna Ongata Rongai wakati Tanzania kuna Rongai ukiacha Rombo ya Tanzania na Rombo ya Umasaini huko Watanzania wanamiliki mashamba! Pia Mara Tanzania na Masai Mara Kenya!

Huyo mpuuzi wa kunyaland alitaka kuniletea ujuaji ndio maana nikampuuza kwa comment ile.
Wabongo wengi sana wana run show huko kunyaland....kuanzia kilimo hadi biashara ndogo ndogo za retails... Ni Msomali tu anaeweza kumsumbua mbongo kwa biashara huko... Hao kenge wa huko hawana kitu... Kelele nyingi tu.
 
Unamsikiliza huyo mwehu, hivi hamjawahi kunotice ana ndugu kila pembe ya dunia! Ikija ishu yoyote lazima aaandike sijui “kuna ndugu yangu kuna rariki yake” bla bla kibao “kijijini kwetu” ana ndugu na marafiki kila sekta duniani.
😂😂
Ana ule ushamba wa kutaka kuonekana ana ndugu kila kona ndio maana anatumia nguvu nyingi kudanganya.
Jamaa ana urafiki mpaka na Trump, tena hapo ni kwasababu Trump ni mzungu, angekuwa mweusi pia angesema ni ndugu yake, wakenya bhn, kuna mmoja anakuambia aliwatumia emails Marais wa Africa wasimchague Raila 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
I think you got yourself mixed up between Kikuyus and Wachaga … they share similar linguistic and culture..but no way Chaga people are farming in Kenya… leta picha tuone …

Amka utalowesha kitandani...

Eti nani na nani wana share culture and linguistics!? Hakuna kitu kama hicho mzee.... Hakuna mtanzania fala kama mkundustan.

Hakuna mfanano hata kidogo. Wapo wachaga kwenye huu uzi... Wata comfirm.

Halafu wewe ni ng'ombe ya kondele... Mambo ya wakikuyu yanakuhusu vipi!?
 
Jamaa ana urafiki mpaka na Trump, tena hapo ni kwasababu Trump ni mzungu, angekuwa mweusi pia angesema ni ndugu yake, wakenya bhn, kuna mmoja anakuambia aliwatumia emails Marais wa Africa wasimchague Raila 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huwa wanadhani kila mtu ana uwezo mdogo wa kufikiri kama wao. 😂😂😂
 
Amka utalowesha kitandani...

Eti nani na nani wana share culture and linguistics!? Hakuna kitu kama hicho mzee.... Hakuna mtanzania fala kama mkundustan.

Hakuna mfanano hata kidogo. Wapo wachaga kwenye huu uzi... Wata comfirm.

Halafu wewe ni ng'ombe ya kondele... Mambo ya wakikuyu yanakuhusu vipi!?
Halafu Wakenya wengi wanaamini hivyo kisa hao jamaa ni entrepreneur ila lafudhi haziendani! Soon utaskia Wakinga wakifananishwa na kabila la Ukunduni! Wachagga wanasikilizana na Wakamba ila si na Wakikuyu!
 
Amka utalowesha kitandani...

Eti nani na nani wana share culture and linguistics!? Hakuna kitu kama hicho mzee.... Hakuna mtanzania fala kama mkundustan.

Hakuna mfanano hata kidogo. Wapo wachaga kwenye huu uzi... Wata comfirm.

Halafu wewe ni ng'ombe ya kondele... Mambo ya wakikuyu yanakuhusu vipi!?
Huyo ni Mumbi mtu wa Kondele hawezi kujiita Mwai ni insult!
 
Amka utalowesha kitandani...

Eti nani na nani wana share culture and linguistics!? Hakuna kitu kama hicho mzee.... Hakuna mtanzania fala kama mkundustan.

Hakuna mfanano hata kidogo. Wapo wachaga kwenye huu uzi... Wata comfirm.

Halafu wewe ni ng'ombe ya kondele... Mambo ya wakikuyu yanakuhusu vipi!?
Wewe kilaza unajua jina Mwai ni ya kabila gani hapa Kenya?
 
Back
Top Bottom