Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I have been to Tanzania several times,
Ulikuja tz mara moja ukaenda hadi moshi. Ukawa unashangaa how villages were green and developed. Wew ni kigeugeu?

View: https://x.com/1_lakini/status/1892184934783062162?t=qGkKGAFkgQhvhUDxus5Zlg&s=19
View: https://x.com/realNelshaki/status/1892122267900928119?t=z1_YVMs9pY7DoivfZcfCaA&s=19
 
Jina ni jina tu wewe mumbii...

Mbona unamkataa mwenzio? He is not a proudly tribe man like you. Hiyo Mwai isikuchanganye.
Bongolala, re-read what you wrote earlier and my response on the same alafu rudi usome ulichoandika hapa
 
Huyu mjinga mwaiofhawaii anadhani kulease land Tanzania ni sawa na kupanda Matatu Kenya. Kuna requirements nyingi kwa foreign nationals kulease land, uwe na Mtaji wa dola at least $250 000 na wahakiki ni Tanzania Investment Centre (TIC) Kituo cha Uwekezaji Tanzania.
 
Yani hawa jamaa wanafatilia habari zetu like their lives depend on it. Mitanganyika wanajua hadi Chebukati wakati sisi hata hatujui makamu wao wa Rais anaitwaje!!
Sio Kunya tu, we know much about almost every single county in the Universe.
Don't blame us for your ignorance.
 
Sio Kunya tu, we know much about almost every single county in the Universe.
Don't blame us for your ignorance.
You know about almost every country? Ok bongolala, will you be able to tell me the name of the president of El Salvador without Googling? Definitely you can't. Kubali you guys religiously follow our news wakati sisi hapa hata hatusumbuki na nchi yenu
 
Hamsumnuki na nchi yenu you say, aren't you forgetting something? JF is a Tanzanian based Forum, and here you are.
 
Hamsumnuki na nchi yenu you say, aren't you forgetting something? JF is a Tanzanian based Forum, and here you are.
Have you forgotten that this thread was started by a Tanzanian comparing Nairobi with some glorified fishing village? That's why I am here
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…