Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna kitu ambacho ukijui we mana!?
 
Eti GDP ile ya ukweli ikiwekwa?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Poor bongolala, you are so desperate and stupid at the same time, a very dangerous combination! Hivi, huoni hata aibu?

Kwa hivyo hii GDP yenu ni ya uwongo? Kwamba kuna nyingine ya kweli ambayo wewe watchman with zero knowledge on economics ndio unajua? Do you even know how GDPs are calculated? Smh!
 
Hiyo habari tumeskia kwako, alafu wewe ulienda kutafuta nini NTV? Don’t you have National Televisions in Tanzania?
The fact that he saw that on NTV means he's following Kenyan news, just like most of them here. Ama TBC yao ilifungwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…