Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Eti hawa nyang'au wanajifanya kukasirika wakiambiwa huo ukweli😎Yet ntv inaripoti harusi ya mobeto!amfuatilii habari za TZ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti hawa nyang'au wanajifanya kukasirika wakiambiwa huo ukweli😎Yet ntv inaripoti harusi ya mobeto!amfuatilii habari za TZ?
Asanteh intaneti bila wewe tusingejua kiasi gani hawa watu ni wapumbavu hivi......na mjitoe AU basi tuone. Pumbavu
View: https://x.com/itskipronoh/status/1892797144135782578?t=Es73PRaBUT5J46ffpyBbZw&s=19
These are the real fans of socialites!!
On huyo demu wa kwenu alivyozidi kupanda chati baada ya harusi ya Hamisa (of all people) na Aziz Ki. Mpaka kaitwa interview ahadithie ilivyokuwa 😂😂
View: https://x.com/Rydx_017/status/1892873524391374921?t=aHtxrz0-ZSlZHh4mL6K-RA&s=19
Kuna kitu ambacho ukijui we mana!?You can keep refuting me about whom I know but am letting you know now I know few Chagas who reside in America…check my history here.. I have posted photos of Kenya vs Tanzania soccer match in the USA…I met few Chagas then and we became friends …anyways Chaga are not like the rest of Tanzanians .. they live well in America too…one told me most Tanzanians are lazy especially in the coastal region including Dar … that’s how I know …Chagas have entrepreneurial spirit and yes as a Kikuyu speaker I can attest the languages share similarities…proceed…
Akili zao za kitoto thus y wamebaki kudanganywa na wanasiasa,kunyan kila atakachoambiwa na mwanasiasa wa kabila yake lazima ataaminiEti hawa nyang'au wanajifanya kukasirika wakiambiwa huo ukweli😎
mnafuatilia au amfuatilii habari za TZ?But we don’t care posting… hizo ni News za teeniez, socialites na housewives wa Kilimani … but nyinyi munapost mpaka Kenyans having sex… you have a serious obsession with us…Facts!
Kwanza their cities has no sidewalks yet anaongelea za kisumu.Utajuaje na wewe ni watchman?
No drawing
Eti GDP ile ya ukweli ikiwekwa?🤣🤣🤣🤣🤣🤣Alafu haya maneno yao ya kujifanya wanasifia Tz kinafki yataisha muda c mrefu, unajua ujinga wa wakenya upo wapi? Kwenye paper GDP, sasa yalivyo majinga takwimu mpya zikishatoka na Tz GDP ikishawekwa ile ya ukweli $150B hutawasikia wakiongea hv, wataanza kuuwana mwishowe watazoea watatulia, na hapo ndipo Kenya litakuwa koloni rasmi la Tanzania.
Hiyo habari tumeskia kwako, alafu wewe ulienda kutafuta nini NTV? Don’t you have National Televisions in Tanzania?Yet ntv inaripoti harusi ya mobeto!amfuatilii habari za TZ?
Hii picha bado umehifadhi watchman?😂😂
The fact that he saw that on NTV means he's following Kenyan news, just like most of them here. Ama TBC yao ilifungwa?Hiyo habari tumeskia kwako, alafu wewe ulienda kutafuta nini NTV? Don’t you have National Televisions in Tanzania?
How does this translate to development?Weka development za kundustan acha kupiga maneno.
This is Tanzania:
Matukio mbalimbali katika picha wakati wa Kongamano la tatu (3) la Kahawa Barani Afrika (3rd G25 African Coffee Summit) linalofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere leo Februari 21, 2025, jijini Dar es Salaam.
View attachment 3244348
View attachment 3244349
View attachment 3244350
Na hapo ni Shanty Town, mtaa wa Moshi wa kifahari.🤣No drawing
No sidewalks
No road markings
No road shoulders.
Unambwato fala wwHiyo habari tumeskia kwako, alafu wewe ulienda kutafuta nini NTV? Don’t you have National Televisions in Tanzania?
Hamisa Mobeto is more famous than any celebrity in Ukunduni!Hiyo habari tumeskia kwako, alafu wewe ulienda kutafuta nini NTV? Don’t you have National Televisions in Tanzania?
Endelea kufuatilia Kenya. That’s what Tanzanians are best in.Unambwato fala ww