Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Nimesoma sijaona mg!Soma link
From hamtajenga uwanja to hamtoweza kuhost AFCON to AFCON ikiisha hamtoweza kumaintain viwanja. I love how you keep adjusting your expectations.🤣Afcon ikiisha kuna viwanja vitakuwa hivi baada ya muda. 😂😂😂
Bei Facebook anmelden
Melde dich bei Facebook an, um dich mit deinen Freunden, deiner Familie und Personen, die du kennst, zu verbinden und Inhalte zu teilen.www.facebook.com
kwani kasema viwanja vya Kenya? wacha inferiority complex! Afcon 2027 inashirikisha Tanzania na Uganda pia! Au unajijua tayari kuhusu hii maneno?From hamtajenga uwanja to hamtoweza kuhost AFCON to AFCON ikiisha hamtoweza kumaintain viwanja. I love how you keep adjusting your expectations.🤣
Aisee!! 🤔🤔🥲🥲🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
View attachment 3245066
🚮🚮Nimesoma sijaona mg!
Umeona waganda wangapi kwenye hii ligi? Unazeeka vibaya mzee.kwani kasema viwanja vya Kenya? wacha inferiority complex! Afcon 2027 inashirikisha Tanzania na Uganda pia! Au unajijua tayari kuhusu hii maneno?
Mnapowekaga picha ya viwanja vya Uganda hamjuagi kama hamna waganda humu? Inferiority complex inawasumbua.Umeona waganda wangapi kwenye hii ligi? Unazeeka vibaya mzee.
Sikutaja nchi ila naona umejiongeza kwa kujishuku maana unafahamu kiufasaha after Afcon ni viwanja gani vitakuwa idle. 😂😂😂From hamtajenga uwanja to hamtoweza kuhost AFCON to AFCON ikiisha hamtoweza kumaintain viwanja. I love how you keep adjusting your expectations.🤣
niko serious naomba kujua!
Game on buddy, you up for it?Maneno ya kila siku. Why wakiikosa JKIA wasiende huko Kisumu, maana kila kukicha ni KIA.
KQ diverts some flights from JKIA to Tanzania due to poor visibility
It was not immediately clear how many flights were actually redirected to the Kilimanjaro International Airportwww.thecitizen.co.tz
Why haikwenda Kisumu?
Alafu hadi leo bado hujapata picha za Airport ya Kisumu ikiwa na watu maana unatembea na za Ufunguzi wa jengo.
You got so used to shame it’s not relevant to you anymore 😂
Delta airline acquisition imeishia wapi? Na merger na SAA? Au ni mwendo wa kelele without a stop!
Tulikuwa na vita before? Ama hutaki kuonyeshwa picha zako? Alafu ukweli gani unaongelea? The discussion was about Kisumu and Kilimanjaro lakini wewe na ujinga wako ukaleta JNIA, for what reason now?unaitaka tena hii vita.? I thought umekua… 🤣🤣 kumbe wewe ukweli ni sumu kwako eti.?
Kujishuku vipi na ni kitu mnasema kila siku humu? Watu sii wajinga buanaa. 😂 😂Sikutaja nchi ila naona umejiongeza kwa kujishuku maana unafahamu kiufasaha after Afcon ni viwanja gani vitakuwa idle. 😂😂😂
What I posted is not a street, actually that’s a new development corridor in Kisumu and will be tarmacked this year.Nili post streets za moshi, ukaulizia roads markings sahii unapost hizi za kisumu zenye ni tope. 🤣🤣
Wacheni upumbavu nyie Kilimanjaro international Airport inapokeaTulikuwa na vita before? Ama hutaki kuonyeshwa picha zako? Alafu ukweli gani unaongelea? The discussion was about Kisumu and Kilimanjaro lakini wewe na ujinga wako ukaleta JNIA, for what reason now?
| Statistics (2013) | ||
|---|---|---|
|
| Aircraft | In fleet | Order | Passengers | Notes |
|---|---|---|---|---|
| Cessna 208 Caravan | 4 | 0 | 12 | |
Total | 4 | 0 | |