Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 11,634
- 34,314
Unataja vimitaa vya kawaida. 🤣🤣🤣 As I told you, no estate in kundu render republic can relate.As I said, Fumba is nice but just visit Ruiru ,Kiambu county… many Fumba likes there … hakuna ja ajabu hapa … the difference mko na kamoja tu while Kenya ziko Kwingi …period.
Hivi hivi vindege vya kivita vya 1930s bado viko kwenye operation kweli au ni for antiques display tuu?
One source of electricity ya Tanzania inaweza endesha Kenya nzima na sehemu ya Uganda kidogoKenya’s electricity demand now stands at 2,300MW while ya Tanzania bado ni 900MW.
View: https://x.com/KenyaPower/status/1891411719022419997
Eti na sehemu ya Uganda kidogo. 🤣🤣One source of electricity ya Tanzania inaweza endesha Kenya nzima na sehemu ya Uganda kidogo
Sio propaganda mkuu ni uhalisia hao jamaa wamepika Data ili tuonekane tupo sawa au tunakaribianaEti na sehemu ya Uganda kidogo. 🤣🤣
kumbukeni kuna mradi wa Kinyerezi I n II expansion, solar power around 150MW, mradi wa hydropower Tanzania, Rwanda na Burundi Rusumo around 23MW na Malagarasi na Ruhudji pia U/C! In total over 600MW in the works!Sio propaganda mkuu ni uhalisia hao jamaa wamepika Data ili tuonekane tupo sawa au tunakaribiana
Vijamaa tunavizidi mbele ya macho Yao lakini havikubali 🤣🤣🤣 yaani tunavipelekea moto kila sector, ila bado vinakaza fuvu.Sio propaganda mkuu ni uhalisia hao jamaa wamepika Data ili tuonekane tupo sawa au tunakaribiana
Nimekutana na wakenya wengi tu kili marathon,
Walikuja wengi sana. Magari yenye namba za Kenya yalikuwa mengi sana. Hotel niliyofikia kulikuwa na magari madogo kama 7 na mini bus za Wakenya. Wanapenda sana vibe la Kili marathon.Nimekutana na wakenya wengi tu kili marathon,
Hakuna event ya maana nchini kwaoWalikuja wengi sana. Magari yenye namba za Kenya yalikuwa mengi sana. Hotel niliyofikia kulikuwa na magari madogo kama 7 na mini bus za Wakenya. Wanapenda sana vibe la Kili marathon.
hata Chris Brown anajua! Humu ndani wanaponda Tanzania wakati Twitter wako-proud ku-post their visit to Tanzania!Hakuna event ya maana nchini kwao
Sawa.Mbona yale yale soma mstari wa Kwanza. Au rudia kusoma kabisa
So you are bragging to me about Mauritius…. What happened about Tanzania?….did you first see the headline?… some places in Africa zinakaa US …that means am used to it ..You look foolish… I have no doubt there are luxurious real estates in many parts of Africa, unfortunately I can’t say the same for TZ aka Vumbistani ..🤣🤣🤣…Jenga kwenu first, stop burying your shame by raining in Mauritius’ parade…stay in your lane 😁some places in Africa zinakaa US Cheki hizo estates za mauritius 👇🏾.
View: https://youtu.be/2ZsD6BoKgO8?si=5eo-AcqPgo7uCpVh. We mpumbavu mkosa elimu mwaiofhawaii njoo ujifunze africa. 🤣🤣🤣