Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio mitungi hao wananchi masikini wameenda kuiuza wala hawana mpango nayo.
 
Umeanza kujaa kwenye mfumo πŸ˜‚πŸ˜‚

Wakati nawaambia miaka 6 ya Mwendazake imepotea Bure si mlikuwa mnabisha?

Hakunaalichofanya kwenye Barabara,Mikoa aliyoikita Ina vumbi Kwa JK Hadi anaondoka aliacha vile vile.

Sasa mama ameanza kazi rasmi ya ujenzi wa kulinganisha Barabara.

Huko Tanga Kuna miradi mikubwa 4.

1.Tanga-Bagamoyo
2.Handeni-Singida
3.Amani-Muheza
4.Soni-Bumbuli-Korongwe.

Kwa Samia n kazi sio porojo πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DGlTO34KhN8/?igsh=MWo0MWZrdGVrbWthNg==
 
Nishati safi ya kupikia champion ni Mama na Sasa ni ajenda ya Afrika
View attachment 3254309

Najua hizi habari zinakujmiza moto il utazoea tuu Hadi 2030 πŸ˜‚πŸ˜‚
unless unambie na utuaminishe kua vita tumeshinda so far πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

shida yetu sisi ni hatupendi kuambizana ukweli vita vya nishati na salama iko bungeni over 20 yrs now, hio gas na umeme tunayotaka iwe nishati mbadala

10k = 28units electricity
25k = 6kg of gas
 
Iko bungeni over 20 yrs Sasa sijui inafanya nini huko Bungeni πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡
 
kumbe inaendelea ambayo ilishaanzishwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

kwani kwa akili yako unafkiri angekua hai isingeendelea ?? kama ilishaanzishwa ni lazma iendelee sio ombi kwasababu pesa zimewekwa hapo

alaf unatuambia barabara ya segera tanga wakat barabara nzima kabisa haina shida, tuzibe mapengo ya barabara kutoka tanga mjini kwenda pangani kwanza barabara ina mashimo kama kikaango cha vitumbua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…