RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Hio mitungi hao wananchi masikini wameenda kuiuza wala hawana mpango nayo.labda mpango wa uchaguzi tu huwez kua na ndoto kama huna mikakati maalumu ya haraka, huwez kugawa mitungi ya gas bure kwa watu wachache wakat gas yenyewe ni ghali sana, huwez kutaka watu watumie nishati mbadala wakat bei ya umeme iko juu sana na huku tunajisifu kua tuna vyanzo vya kuzalisha umeme rahisi zaidi kama hydro, kwa sasa tuongelee siasa za uchaguzi tu 😂😂😂