Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂😂😂

camera 40 million 514 na nchi iko kimya kabisa

Serikali unafanya KAZI kwa tender na mwenye bei ndogo ndo Huwa anashinda. Kuumbuka mtu anapoamna tender anaweka na cha chuu na mara nyingi lazina kiwe kingi sabab malipo ya serikali mara nyingi huchukua muda mrefu.
Chukulia mfano kwenye ujenzi tu kwenye ujenzi matofali mara zote yanayotakiwa ni Yale walau ya mfuko mmoja kwa tofali 25 wakati mtaani ujenzi wa hivyo ni hasara tu.
Tukija kwa mfano street lights Kuna taa nzuri tu za mpaka 400,000 kwa watts 500 lakini ukigusa zilizowekwa kwenye barabaran nyingi bila hata nguzo unakuta zinaenda mpaka 1.2mil kimtaani ukiweka na gharama ya ujenzi na cha juuu kwa mzabuni SI ajabu ikafika 3mil .
Sio Kila kitu ni kupinga ukitaka tender za serikali hata wewe unaweza ukabid.
Kama utakubali kuingia kwenye tender kwa bei ndogo ila ukaja kulipwa baada mwaka karibu
 
It was really bad. Embarrassing.


View: https://x.com/KipepeComrade/status/1895823288477368639
Zelensky ni tool ya Waamerika na Europeans. Kwa sasa amepagawa kwakua interests za America haziko aligned na interest za Europeans in Ukraine, na kwa sasa Europeans wanampeleka Zelensky kukizi interest zao na America nao wanafanya kila wawezalo kutimiza interest zao, kuna yale Zelensky na kundi lake wanataka kwa kiasi kikubwa linaendana na interest za Europeans wanampa.
 
Ndiyo maana nashangaa Korogwe watu wanatoka kwa mama na nakatoni ya maji na paceli ya msosi
Ila mbona haya mambo yapo awamu zote au tumesahau ya kina polepole . Kitu pekee kinachoonekana ni kwamba tunalinganisha na aliyepita ila hamtaki tuongelee negativity za aliyepita.
Tunapenda tusikie ufisadi wa mama ila akiguswa aliyeondoka kama reference ni vita.
Ufisadi uliofanyika penzi za mwendazake ni mkubwa kuliko awamu zote na miradi mingi ilisimama ila kwa sababu ni malaika hatakiwi kuzungumzwa
 

Uko sahihi.. NEST kuna tender kibao... Na mara nyingi kandarasi nyingi za serikalini huwa wana Ongeza bei kutokana na utaratibu wa malipo ulivyo. Pia wakati mwingine kuna kuwa na variations ambazo zina pelekea gharama za mradi kuongezeka.

Kuhusu ishu ya Kariakoo na hizo kamera ofisi ya Mkurugenzi Jiji ilishatoa ufafanuzi. Sio kamera 40 pekee za Kko ndio zita gharimu hiyo milioni 500+ hiyo hela ni jumla ya fedha zote za kufunga kamera CBD plus Kkoo... Hapo ni kamera na control rooms zake na facilities zote kama nyaya, kompyuta na installations fee.

Project ni kamera kwa CBD Yote na Kkoo ikiwepo, na gharama ndio hiyo 514m.
 
Mimi mpaka Leo sijaona Yale mabehewa ya ghorofa used tuliyonunua mwaka 2019 kwa cash
 
Kwani rush hour public transport ikoje Nairobi? What I know in most cities rush hour buses/trains/trams are crammed and its understandable.
In Nairobi people don’t have to help themselves in through the windows though
 
In Nairobi people don’t have to help themselves in through the windows though
Did that photo show anyone going through the window? Eti in Nairobi...wtf is Nairobi? Have you seen Dubai metro during rush hour? Or London underground or Tokyo metro during rush hour? We ain't talking about Matatu here
 
Did that photo show anyone going through the window?
You asked how does rush-hour in Nairobi compare, that aspect doesn’t have to be seen in the picture I posted. Anyway, is it a misconstrued statement?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…