Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

24hrs kariakoo haiwezi kufaulu unless kuwe na strategics za muda mrefu tena za kisawasawa nje ya hapo wanapoteza muda na pesa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
na sijui kwann so far inatumika nguvu nyingi sana nastaajabu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

yani nguvu inayotumika utasema kuna upinzani wa kutisha wanagombani points πŸ˜‚
Hatari.

Wanasema ulianzia kwa Mzee wakati sifa kwa mzee zilikua genuine kwa kile anachokifanya sio unafiki ndio maana toka afe 3 yrs wanajaribu kuzima kwa gharama kubwa mabango kila mahali, kusifia kulikopitiliza kwa kila mtu hata kwa watu ambao hawatakiwi kufanya "Viongozi".

Afanye kazi atasifiwa.

Sio kiongozi flani yupo anablunder unamuacha kisa anasifia vizuri.

"Mwigilu", Chalamila, Mbarawa, wote wanaosimamia Mwendokasi, MADC na MARC ovyo.

Yaani ni noma kabisa. Now hakuna kumwajibisha kiongozi anayesifia vizuri. Na ndio wanamcost pakubwa.

Kwani hajajifunza kwa Magufuli hao hao waliokua wanajifanza kuchapa kazi now ni wazembe wakubwa na waharibifu na machawa wakubwa hadi kufikia kumtukana.

Legacy yako inawekwa na alama ulizoacha hata wakuchafue vipi hufutiki.

Aangalie kuacha alama sio controversies za waarabu kila kukicha.


Kamilisha miradi yote safi. Na miradi usiichafue na siasa za uchawa
 
huelewi nn wakati visit yake ni kuzindua phase II? au ubishi ni league yako? Kwani kasema kazindua kiwanda kipya?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
hebu kuweni serious kidogo unaongea vitu gani wewe, ndio maana tulikua tayar kusaini mkataba wa bagamoyo port kwa yale masharti kwa maslahi ya wachache kwa sababu akili zetu hazijifunzi kila siku

camera 40 ni sawa na 514m hvi ww ukiwa na akili timamu unaona iko sawa??

hvi sisi watanzania tuna shida gani alaf tuko hapa tunawacheka wakenya kwa ajili ya ufisadi wao kumbe na kwetu pia kunaungua vile vile πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
Wewe na nani ambao mlipewa kazi ya kusema huu ni mkataba mzuri au mbaya? 😁😁

Hii ni bei kubwa au ndogo? 😁😁

Acha ujinga
 
Alafu wakuu kuna sababu za msingi zozote kwa Traffic kusimama kwenye mataa kuanza kupendelea upande mmoja wanaopita viongozi (Watumishi wa wananchi) kila siku.

Hakuna namna ya kuseti mataa yaongeze dk za kuruhusu au kuwa na smart traffic management sidhani kama smart traffic zinaweza kua ghali kama CCTV 40 500m kariakoo.

Tuelimike sasa yaani inakera Traffic kukaa kwenye mataa na wakati mataa yako fair yanaweza fanya kazi fresh tu. Kisa tu upande huo kuna kiongozi asie hata na ukubwa wowote anapita.

Ifike Muda tuwe na sheria kali mambo ya viongozi kuwa na vingora au kuzuia traffic iishie kwa WAZIRI MKUU TU.

RAISI-MAKAMU WA RAISI-CDF-CJ-SPIKA-WAZIRI MKUU. Wizara nyingine zitapewa kulingana na unyeti au influence kubwa mfano Wizara ya Fedha au Ulinzi.

HAO WENGINE NI BIG NO. Na wakichelewa kwenye Majukumu waajibishwe huu upumbavu ndio maana hatuendeli.

Yaani mtu hajui hata Barabara ina kero kwa sababu anateleza kutoka home hadi office.

I BELIEVE WAKIANZA KUPATA TABU KUPITA SEHEMU HAWAKAWII KUPENDEKEZA HATA NJIA 4 Barabara flani na kutaka imalizwe ujenzi.

Imagine Viongozi wachukue Treni iwakwamie wachelewe Bungeni alafu unawatia adabu na Deduction ya stipends, pamoja na onyo, pengine hata kuwaambia wakae nje.

Wataweza tena kuvumilia uzembe TRC?
 
Did that photo show anyone going through the window? Eti in Nairobi...wtf is Nairobi? Have you seen Dubai metro during rush hour? Or London underground or Tokyo metro during rush hour? We ain't talking about Matatu here
So there is no rush hour in Nairobi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…