Na wameendaa event juzi hapo Kariakoo..sijui wametumia sh ngap kwenye event ile ya kufungua 24hrs.
Yaan pesa zinatumika ovyo siku hiz wakati tuna challenges kibao.
Msimbazi street imezidiwa, hakuna hata sehemu ya kupita, huku boda, huko bajaji, huku machinga., huju ujenzi...Na siku hiz pamekuwa pachafu sana.
Mimi ningekuwa mayor.
Marufuku ya all vehicles kupita msimbazi street kutokea msimbazi A hadi uhuru street with exception of Mwendokasi tu.
Mtaa unaofuata wa likoma ungekuwa one way na Ndanda oneway...halafu naweka mataa kwenye makutano yake na uhuru road.