ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Sasa ni biggest.? Kama ulivyodai.?Baboon Huyo ni producer wa Vumbistan.
Unaogopa Mombasa mpya, imebidii utafute picha za Mombasa old town ujiliwaze na bado hata hio old town bado iko sawa sana.Here is mombasa without lipsticks. ππΎView attachment 3254932View attachment 3254934View attachment 3254935huu ni mji au takataka.? π€£π€£π€£
Hilo eneo limevunjwa kwasasa.?Unaogopa Mombasa mpya, imebidii utafute picha za Mombasa old town ujiliwaze na bado hata hio old town bado iko sawa sana.
Rush hour in cities with metro or brt like Dubai,Tokyo,Dar is not the same as in a city full of Matatus. Otherwise you wouldn't be surprised seeing a crammed brt bus.So there is no rush hour in Nairobi
We jamaa kwani uki ignore huyo chawa utapungukiwa nini?tuulize sisi tuliokuwepo tanga that day tukusimulie ππππππ
bodaboda wote wameekewa mafuta 5000 na posho elf 20 waongeze idadi ya misafara
watu wamezolewa kila kona ya kijiji na kuletwa uwanjani wajaze uwanja
chakula kimewekwa kushawishi watu waje wajaze uwanja ili wale na maji semi mbili za GSM zilikuwepo zikimwaga maji mpaka watu wanabeba carton za maji kupeleka majumbani kwao
ππππππ»ππ»ππ»ππ»ππ» eti historia
Ulivunja wewe ama?Hilo eneo limevunjwa kwasasa.?
Inategemeana na unavomchukulia mtu , lakini kwangu Mimi the most corrupt alikuwa hiyo anayeona alifanya mengi na evidence zipo wazi usipofushwe na miradi michache, pia hata Samia sio kwamba Yuko perfect Kuna vitu vingi vinaenda ndivyo sivyo ola huwez compare na magu.at least peace of mind kwa mfuatiliaji imepatikana ili uweze kuona utofauti angalie Ile rate ya wawekezaji inavyoflow , chukua hata mfano tu mabasi na malori then njoo kwenye ajira. Angalia rate ya faida kwenye mabenk ulinganishe na Ile shake ya mabenk kipindi cha mwendazake.Hatari.
Wanasema ulianzia kwa Mzee wakati sifa kwa mzee zilikua genuine kwa kile anachokifanya sio unafiki ndio maana toka afe 3 yrs wanajaribu kuzima kwa gharama kubwa mabango kila mahali, kusifia kulikopitiliza kwa kila mtu hata kwa watu ambao hawatakiwi kufanya "Viongozi".
Afanye kazi atasifiwa.
Sio kiongozi flani yupo anablunder unamuacha kisa anasifia vizuri.
"Mwigilu", Chalamila, Mbarawa, wote wanaosimamia Mwendokasi, MADC na MARC ovyo.
Yaani ni noma kabisa. Now hakuna kumwajibisha kiongozi anayesifia vizuri. Na ndio wanamcost pakubwa.
Kwani hajajifunza kwa Magufuli hao hao waliokua wanajifanza kuchapa kazi now ni wazembe wakubwa na waharibifu na machawa wakubwa hadi kufikia kumtukana.
Legacy yako inawekwa na alama ulizoacha hata wakuchafue vipi hufutiki.
Aangalie kuacha alama sio controversies za waarabu kila kukicha.
Kamilisha miradi yote safi. Na miradi usiichafue na siasa za uchawa
Hivi kasarani ilitakiwa iwe imekamilika lini?Malizeni kuchimba foundation kwanza ndio uanze kuongele a how the render will look like after completion.
Home enyewe sio kinyonge tu. an iconic landmark. Tanga city bus terminus View attachment 3254926View attachment 3254927View attachment 3254928
Mkuu mashart gani mfanohebu kuweni serious kidogo unaongea vitu gani wewe, ndio maana tulikua tayar kusaini mkataba wa bagamoyo port kwa yale masharti kwa maslahi ya wachache kwa sababu akili zetu hazijifunzi kila siku
camera 40 ni sawa na 514m hvi ww ukiwa na akili timamu unaona iko sawa??
hvi sisi watanzania tuna shida gani alaf tuko hapa tunawacheka wakenya kwa ajili ya ufisadi wao kumbe na kwetu pia kunaungua vile vile ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Wewe ndio kipimo Cha viongozi Waziri au waaofanya kazi? ππππHatari.
Wanasema ulianzia kwa Mzee wakati sifa kwa mzee zilikua genuine kwa kile anachokifanya sio unafiki ndio maana toka afe 3 yrs wanajaribu kuzima kwa gharama kubwa mabango kila mahali, kusifia kulikopitiliza kwa kila mtu hata kwa watu ambao hawatakiwi kufanya "Viongozi".
Afanye kazi atasifiwa.
Sio kiongozi flani yupo anablunder unamuacha kisa anasifia vizuri.
"Mwigilu", Chalamila, Mbarawa, wote wanaosimamia Mwendokasi, MADC na MARC ovyo.
Yaani ni noma kabisa. Now hakuna kumwajibisha kiongozi anayesifia vizuri. Na ndio wanamcost pakubwa.
Kwani hajajifunza kwa Magufuli hao hao waliokua wanajifanza kuchapa kazi now ni wazembe wakubwa na waharibifu na machawa wakubwa hadi kufikia kumtukana.
Legacy yako inawekwa na alama ulizoacha hata wakuchafue vipi hufutiki.
Aangalie kuacha alama sio controversies za waarabu kila kukicha.
Kamilisha miradi yote safi. Na miradi usiichafue na siasa za uchawa
Mitaro ndio imefika 28% ama? Alafu mbona ni Kama hamjielewi? Jan ilikuwa 25%, mid Feb ikarudi 16%, leo hii ni 28%. Should we expect 13% by next month?Uwanja wa Arusha hadi sasa upo 28% to complete. ππΎ.
View: https://www.instagram.com/reel/DGqigbDsaVP/?igsh=MTQyaWJ1NHVyaTlk.
Kasarani is better than any Stadium in Vumbistan, donβt just mention its name anyhow.Hivi kasarani ilitakiwa iwe imekamilika lini?
Sasa kama havijaja na vilinunuliwa kipindi cha mwendazake Tena kwa cash kwa gharama ya hizo mpya na hivi vipya mkataba wa manunuzi ukaingiwa mwaka 2021/08/1utayaona vp wakat vichwa vyake havijaja so far, kila siku tunapigwa kalenda pesa zinakopwa ovyo na hakuna kitu kinaenda kwa wakat