Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimemuuliza walitoa hela vichwa na mabehewa Yako wapi? 😂😂
 
Sawa awamu iliyopita ilifanya ufisadi mkubwa lkn ilileta miradi tunayotamba nayo humu na kwingineko, kama serikali itafanya miradi kama hii alafu inafanya ufisadi basi mm nitakuwa wa kwanza kuipigia kura, lkn sio ufisadi wa kikwete na wenzake, mwisho wa siku tunaletewa neti.
 
Kwani miradi Nchi hii ya kutamba nayo haipo? 😂😂
 
Ushafuatilia kaguzi za hiyo miradi ?
Hivi unajua ni rahisi sana kuiba kwenye ujenzi na manunuzi kuliko sehemu nyingine yoyote?
Miradi ni pamoja na human capital( kuwezesha watu kupata kilaji) sasa mtu anakaa miaka 6 hatoi ajira na bado bajeti ya ajira haikupungua mnamsifia tu.
FUatilia ripot za ukaguz baada ya mwendazake uone madudu ya hiyo miradi.
 
Rush hour in cities with metro or brt like Dubai,Tokyo,Dar is not the same as in a city full of Matatus. Otherwise you wouldn't be surprised seeing a crammed brt bus.
PS I just went with your assumption of it being rush hour which you are now stuck on while no one said that the picture was taken during rush hour
 
Uchawa na kusifia ndiyo kitu wanacho kipenda hawa machawa kama JPM alikuwa fisadi kwangu mm angeiba tu bila yeye hakuna Sgr ya umeme, Atcl, JPM bridge, mv mwanza, bwawa la Nyerere, serikali kuhamia Dodoma, plan ya msia airport, wami bridge, ikulu Dodoma, walivyo wasenge watakwambia hakukamilisha je nani alizianzisha bila kujali mikwala ya mabeberu kazi ilifanyika bila kujali nani anataka nini
 
In Nairobi people don’t have to help themselves in through the windows though
Wapi abiria kaingia kupitia dirishani? Mbona unataka kufosi maisha yenu yawe kama yetu? Hujawahi kuona brt ikijaa zaidi ya hivyo? Au nikuwekee picha za nje ili uone ujinga ulionao, yn brt ya Tanzania inawauma sn na bado mtaendelea kuumia sisi hatujali, tunaendelea kupiga panapouma.
 
PS I just went with your assumption of it being rush hour which you are now stuck on while no one said that the picture was taken during rush hour
Coz I know what it's like during off peak.
 
Mkuu hivi unajua miradi hiyo yote ilipangwa hata kabla ya ujio wa magu ? Ukitaka discussion nzuri na constructive kubali nasi tutoe negativity za unayemsifia . Hakuna kipya kwa jpm
 
Machawa achana nao hao, na mm sitoacha kuwakumbusha hata wakijifanya wehu. Hawa ni ma CCM pro yaliyovamia huu uzi, yenyewe yapo radhi hata kiongozi akikosea lkn asiikosoe CCM, ni majitu yanasababisha hali inakuwa ngumu sn kisa yenyewe yanapewa visenti fulani. Hivi mtu mzalendo mwenye akili zako timamu kabisa unaweza kumuweka jakaya kwenye level za Magu, au mama kwenye utwala bora? Kwa kipi hasa? Mambo yapo hadharani huhitaji kwenda chuo, na wajue kabisa watanzania wa sasa sio wale waliowazoea.
 
Tatizo saivi nchi haina Msimamizi baada ya baba kutangulia mbele ya haki miradi haikamiliki watu wanajipigia hela na utakatishaji wa hela ili mradi tu ujue kusifia utapiga hela na huyo punga ndicho anacho kifanya nyie pigeni tu CO hana tabu huyo msifie tu umemaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…