Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jana mmepost humu kwamba Burna Boy mwenyewe kaja na sound system yake. Leo hiyo hiyo sound system ya Burna Boy mnaitumia kuiponda Kenya. Mbona msimponde huyo Burna Boy mwenyewe mwenye mlisifia kwa kuchagua kuja na system yake mwenyewe?
Jana Sound System ilikuwa ya Burna Boy, leo hii tena imekuwa ya Wakenya just because the quality of Burna Boy’s system was poor. Huyu mzee atachizi siku moja.
 
Sawa usijali, Ikiwa umeamua kuchukua negativity ni chaguo lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…