Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jana mmepost humu kwamba Burna Boy mwenyewe kaja na sound system yake. Leo hiyo hiyo sound system ya Burna Boy mnaitumia kuiponda Kenya. Mbona msimponde huyo Burna Boy mwenyewe mwenye mlisifia kwa kuchagua kuja na system yake mwenyewe?
Jana Sound System ilikuwa ya Burna Boy, leo hii tena imekuwa ya Wakenya just because the quality of Burna Boy’s system was poor. Huyu mzee atachizi siku moja.
 
Inategemeana na unavomchukulia mtu , lakini kwangu Mimi the most corrupt alikuwa hiyo anayeona alifanya mengi na evidence zipo wazi usipofushwe na miradi michache, pia hata Samia sio kwamba Yuko perfect Kuna vitu vingi vinaenda ndivyo sivyo ola huwez compare na magu.at least peace of mind kwa mfuatiliaji imepatikana ili uweze kuona utofauti angalie Ile rate ya wawekezaji inavyoflow , chukua hata mfano tu mabasi na malori then njoo kwenye ajira. Angalia rate ya faida kwenye mabenk ulinganishe na Ile shake ya mabenk kipindi cha mwendazake.
The only president alikuwa Nyerere ila sio magu mnayemsifia
Sawa usijali, Ikiwa umeamua kuchukua negativity ni chaguo lako.
 
Mnakumbuka ujenzi wa jengo la maabara ya kilimo in Magufuli city.? 👇🏾
IMG_5141.jpeg
IMG_5142.jpeg
kwasasa linaonekana hivi 👇🏾
IMG_5139.jpeg
IMG_5138.jpeg
 
Back
Top Bottom