kipato gani watu wanajinyonga kwa ugumu wa maisha huko morogoroKwa sababu Watanzania mama ameimarisha kipato Cha Watanzania
Kwa sababu Watanzania Sasa wanaelewa kwamba Utalii sio kusubiria wageni.
Mwisho African Countries ndio zimechangia watalii wengi zaidi kwenye namba hiyo ya Watalii wa Nje.
Ni lini watu walikuwa hawajinyongi?kipato gani watu wanajinyonga kwa ugumu wa maisha huko morogoro
hao watalii wa nje ya africa wanenda wapi?? hua tunatangaza utalii kwa billions of money kwa dunia gani ?? πππ au dunia hii bara pekee ni africa vp kuhusu mabara mengine yenye watu wanaojua maana ya utalii na wenye kujua kutumia pesa kisawasawa
International tourists are more than total airport PAX in their country for both international and local travelers.ππMmekuwa visited na watu 5.36M na international total airport passengers (both leaving and entering and both international and local) hawafiki 5M, kwani hao tourists walikuwa wanaingilia wapi.π€£π€£ Hii ndio shita ya kutumiwa Twitter kama source of information.
Barabara zote ni vumbi. Yani nyinyi mambo ya lami mliombana nayo msamaha?watu wamejenga tegeta ππ»ππ»
View attachment 3256033
Unataka kuchomoa barabara za vumbi ama?kama inauma nambie nichomoeππ
madini yanaeleweka aliefanya mageuzi makubwa sana leo hatuskii tanzanite inatoka india au kenya ππππ haya ni matunda ya jembeNi lini watu walikuwa hawajinyongi?
Kipato kimeongezeka kutoka hapa π π
View: https://x.com/zittokabwe/status/1896114062439616572?t=ogqh6mQtl-ibmzBSwleA6Q&s=19
Hakuna kitu mama amegusa kimebuma ,yaani nyie hadi msalimu amri π π ππ
View: https://x.com/zittokabwe/status/1896110605058101278?t=Ee2UW3hIfqH7pJBZ0R6w0g&s=19
hzo ni sehemu zimejengwa within a short time hapo ni over 30km from CBD kulikua ni pori maeneo hayo 5 yrs agoBarabara zote ni vumbi. Yani nyinyi mambo ya lami mliombana nayo msamaha?
Kwani kabla ya Ununuzi wa Boeng hizo horticulture ziliwahi kosa soko? ππmadini yanaeleweka aliefanya mageuzi makubwa sana leo hatuskii tanzanite inatoka india au kenya ππππ haya ni matunda ya jembe
utalii vile vile tulikua tumelala kaja kutuamsha na kuongeza baadhi ya hifadhi za utalii kutoka kwenye mapori ikiwepo nyerere national park etc leo inazalisha mapato makubwa ambayo hayakuwepo awali ππππ leo tunashangilia utalii ila tumesahau air tanzania ilifufuliwa kwa dhumuni hilo la utalii
tunafurahia horticulture ila tunasahau kwann manunuzi ya boeing 767 cargo ilinunuliwa ππππ kwann air tanzania ilifufuliwa hayo hatuyajui ila kwasababu ni uchawa umetujaa na upigaji
alaf unakuja kutudanganya hapa lugha za siasa eti viwanda zaidi ya elf 30 labda viwanda vya kushona viatu mitaaniππ
zilikua zinaozea mashambani na zingine zinaozea kwenye maghala πππKwani kabla ya Ununuzi wa Boeng hizo horticulture ziliwahi kosa soko? ππ
Mageuzi gani yalifanywa? Samia amegawa mitambo Kwa qachimbaji wadogo,amewapelekea umeme,amewafutia na kupunguza tozo,amewapa kitambo ya Utafiti nl nk
Hao wengine walifanya nini?
Kwenye Utalii mlikuwa mumelalaje? ππ
Kwamba alifanya Royal tour au siyo?
Aliyeharibu Kilimo ni Rais yupi?zilikua zinaozea mashambani na zingine zinaozea kwenye maghala πππ
leo tunafurahia cargo plane tunakenua na meno yote 32 bila aibu ππππ
mageuzi ya kwanza ni kwenye sheria na katiba alaf ndio utekelezaji sasa, kwan siku hzi unaskia tanzanite inatoka kenya au india ?????
unaenda kuleta mzungu kucheza filamu ya royal tour alaf watalii wanaokuja ni wachache kuliko wanaotoka tanzania na africa πππππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
hvi yule mzungu alichukua bei gani aisee?
Sasa watalii wa ndani wanakuwaje visitors? π π Ndio maana huwa nasema humu hizi data za tourism za Kenya na Tz huwa hazimake sense. There's something that's never been clear to me.Kundustan mna akili ndogo sana kuhusu concept ya Utalii ππ
View: https://www.instagram.com/p/DFhajv-N47p/?igsh=dDV4YjEzM2lxMWV6
eti aliharibu kilimo wewe punguani kweli, wale wakulima wakorosho waliokua wanapigwa na madalali miaka yote siku hzi wapo?? au mumesahau leo? ππAliyeharibu Kilimo ni Rais yupi?
Bidhaa zilioza na kukosa soko awamu ya nani?
Aliyekuwa anaendekeza migogoro na majirani ni Rais gani?
Mwisho unaweza nitajia investment yeyote aliyofanya Mwendazake kwenye sekta ya Kilimo?
enjoy plz ππππAliyeharibu Kilimo ni Rais yupi?
Bidhaa zilioza na kukosa soko awamu ya nani?
Aliyekuwa anaendekeza migogoro na majirani ni Rais gani?
Mwisho unaweza nitajia investment yeyote aliyofanya Mwendazake kwenye sekta ya Kilimo?
Kwani bila Cargo plane za ATCL hakuna Cargo plane za mashirika mengine?
Kwani wakati ATCL haina mandege hayo yanayoleta hasara tikuwa hatusafiri na low budget private planes? ππ
JKIA kwishynei,sijui tuutegemee upihii dunia isimame sasa niteremkeππππ»
View: https://x.com/masaku_/status/1895519125633712138?s=46
kenya ilishajifia muda tu kaka sasa hvi wanatafuta mtu wakumshushia jumba bovu nae washampata ni kasongoππJkia kwishynei,sijui tuutegemee upi
Madalali mliwamaliza? Kwa hiyo mlivyosomba korosho kwa makarandinga ya Jeshi mkamaliza madalali? ππππeti aliharibu kilimo wewe punguani kweli, wale wakulima wakorosho waliokua wanapigwa na madalali miaka yote siku hzi wapo?? au mumesahau leo? ππ
so ulitaka waingize mufugo yao kwenye hifadhi za taifa kwan sheria ya hifadhi inasemaje?? yeye alitala sheria ifuatwe ukiingiza mifugo kwenye hifadhi unataifishwa ndivo sheria inasema full stopππππ
sio kilimo pekee mpaka mageuzi yaliofanyika kwenye uvuvi na ufugaji leo hii tuanshangilia kuuza nyama oman na nchi za kiarabu bila zile modern slaughter za kimataifa kujengwa unafkiri tungepewa tender ya kuuza nyama nje ya nchi hii??ππ na alikua anatuambia tunaongoza kwa ng'ombe africa sijui tuko number mbili
Umeona hapo kwenye Listi ya mazao Chikichi ipo?