ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 79,360
- 154,913
kipato gani watu wanajinyonga kwa ugumu wa maisha huko morogoroKwa sababu Watanzania mama ameimarisha kipato Cha Watanzania
Kwa sababu Watanzania Sasa wanaelewa kwamba Utalii sio kusubiria wageni.
Mwisho African Countries ndio zimechangia watalii wengi zaidi kwenye namba hiyo ya Watalii wa Nje.
hao watalii wa nje ya africa wanenda wapi?? hua tunatangaza utalii kwa billions of money kwa dunia gani ?? 😂😂😂 au dunia hii bara pekee ni africa vp kuhusu mabara mengine yenye watu wanaojua maana ya utalii na wenye kujua kutumia pesa kisawasawa