Tuonyesheni hiyo gari ikiwa Tanzania basi, either parked or on road. Nimekaa pale Nangoja.Nimekuuliza uniambie purpose za customs verification and why is conducted haujasemaa...
Pia Nimekuuliza, shipping documents kama BL huwa inaweka seal numbers za container. Sasa una fungua container la mteja unakata seal halafu unaweka mpya? Ikitokea shida mteja aka kataa mzigo wake hiyo burden inakuwa ya nani na seal umeshakata!?
Hapa bongo kwa container za Transit zinapita scanner tu kupigwa picha.
No seriously, how old are you?Kwa Wakenya kufunga ni dhambi kwakua maisha mnayoishi ni mfungo tosha!
IamLee Nicxie NairobiWalker
😂😂😂 biggest beggars in the region and you wave that flag proudly
Nimeangalia na hakuna anything nimeona hapo. Obviously there is no production going on there.
Tuonyesheni hiyo gari ikiwa Tanzania basi, either parked or on road. Nimekaa pale Nangoja.
Leta yenu kama hiiEthiopia is now manufacturing bullets, it’s the second East African country to do so after Kenya.
View: https://x.com/AbiyAhmedAli/status/1897370167451230309
Kama Hamna Usidhani wote hawana.Leta yenu kama hii
Ruiru. In Kenya we have more than one.Leta yenu kama hii
Umeshindwa kutuonyesha? Mark my word. That Tesla sio ya mtanzania Bali ni ya Mcongo.Ooh so hautaki kuniambia hizo ishu za customs hapo na shipping documents? Majibu Yote yako hapo mbona bwa'mdogo!?
Nimeona mashamba ya mihogoUmeona nini?
Weka screenshot ya ulichoona kwanza.
Historia yangu ya kuishi Nairobi ni mbaya sana
Na bado pale kwa USAID pia mlikua ndani ya top 10. 🤣 🤣 🤣
Kuna Aston Martin ilikua inaenda Zambia, pia hio mlisema ilikua yenu ju ilionekana ikiendeshwa bongoslum. 🤣 🤣 Tumewazoea kupost uongo huku na magari za transit.Acha ushamba wewe fala...
Kama gari ni ya Transit to Congo mbona wameitoa ndani ya Container? Huoni hapo iko under customs verifications?
Na wakiambiwa wanacatch mafeelings.Kuna Aston Martin ilikua inaenda Zambia, pia hio mlisema ilikua yenu ju ilionekana ikiendeshwa bongoslum. 🤣 🤣 Tumewazoea kupost uongo huku na magari za transit.
Kuna IG page flani mwarabu bandia anapenda kushare hapa, huyo admin hupost supercars za Ghana and other African countries alafu andanganya bongolalas zimefika Dar port. 🤣 🤣 🤣 Hakuna watu rahisi kudanganya kama hawa bongolalas. They are very gullible. 🤣 🤣 🤣On transit to DRC.
Mimi Nimewaambia tu watuonyeshe hiyo gari ikiwa parked or kwa barabara. The post was 2 weeks ago, by now I think mambo ya clearing ishaisha.Kuna IG page flani mwarabu bandia anapenda kushare hapa, huyo admin hupost supercars za Ghana and other African countries alafu andanganya bongolalas zimefika Dar port. 🤣 🤣 🤣 Hakuna watu rahisi kudanganya kama hawa bongolalas. They are very gullible. 🤣 🤣 🤣