Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
Tuonyesheni hiyo gari ikiwa Tanzania basi, either parked or on road. Nimekaa pale Nangoja.Nimekuuliza uniambie purpose za customs verification and why is conducted haujasemaa...
Pia Nimekuuliza, shipping documents kama BL huwa inaweka seal numbers za container. Sasa una fungua container la mteja unakata seal halafu unaweka mpya? Ikitokea shida mteja aka kataa mzigo wake hiyo burden inakuwa ya nani na seal umeshakata!?
Hapa bongo kwa container za Transit zinapita scanner tu kupigwa picha.