Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza hata hapo sio Dar, sikuwa nimeangalia hizo pictures vizuriπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Look at that bridge pale nyuma.
 
Kwanza hata hapo sio Dar, sikuwa nimeangalia hizo pictures vizuriπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Look at that bridge pale nyuma.
View attachment 3261088
Sema inaonekana huwa unaumia sana ukiona Tz ipo mbele eeh.? 🀣🀣

Imagine ulianza kusema gari ni ya kinsasha congo, ukaleta hadi ushahidi wa videos, na wenzako wakaku support. 🀣🀣🀣

sahii umeona hata, haiwezekani, umerudi kuitafuta picha ukaikagua tena upya. Sahii umekuja Tena unasema picha haikupigwa bongo. 🀣🀣🀣

Hold on. Mbona nyie watu ni waongo sana.?
Kwanini Tz inakuuma sana.? 🀣🀣
 
Mbona mnapenda uongo? Hapa ni Dar is slum?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…